Kwasasa kuanza maisha kwa kufanya Biashara ili ufanikiwe unahitaji Nguvu ya ziada

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia...

Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote zimejaa na wasomi kumwagikia..

Education fail ❌

Unatafuta hela uvae nguo nzuri iliyotengenezwa nchi za nje
Watu wanatumia pesa nyingi kwenye Mavazi

Chumba kizuri, Product nje ya nchi

Simu kali, ........

Magari na Security..... nje

Wabongo sisi tunaweza kufanya nini kama sio kurogana tu ?????

Kwasasa hata Ukifungua pharmacy kubwaaaa, ukigawa mshahara kwa wafanyakazi na kodi, boss unabakiwa na Negative

huu ni ukweli ambao watu hawasemi.

Fungua bar utatoa chozi, nakunywa bia mbili nahudumiwa na pisi tatu, mshahara boss anawapa nin ??

Money transfer or TigoPesa wakala
mimi kwenye hili nina uzoefu kabisa.

Mfanyakazi utaweza kulipa kodi na mahitaji yotee hadi progress ya mazingira ya office mwisho wa siku pesa unayopata kama faida ni kama Laki nne tu unakula inaisha, ukiwa na mke na watoto ndio basi tena
hapo mtaji umetumia kama M. 10.

Sasa wazazi wamesomesha wamemaliza hakuna wakukupa mtaji

Tanzania tutatoboa kweli ?????

Kwanini tupo nyuma sana kwenye uzalishaji ????

Hata kutengeneza Kiatu maarufu made in Tanzania Tumeshindwa ???

Mvua ndio hizo Mungu kila siku anakaza, mazao yanapatikana kwa shida sana
Kilimo cha umwagiliaji mtaji wake ni mkubwa tu, kiasi ambacho ni ngumu kuweza kuongoza Kampuni bila kula hasara, watu watakuibia sana.

Afe nyani afe kipa, wote tuajiriwe serikalini ???
Baba yangu ni police mstaafu lakini hawezi hata kunipa mil 1 nifanyie jambo. Yeye mwenyewe jobless kama mimi toka amestaafu.

You need Divine wisdom and direction 🙏🏾

Tunahitaji mabadiliko
Mfalme mwenye hekima za Kimungu.

NRNE
Surya
 
unatia aibu mkuu.miaka kibao jf hujajifunza kitu kuhusu pesa tu?duh

unamlalamikia nani sasa? hujaanzisha hata hio kampuni tayari unamajibu kwamba utaibiwa nakupata hasara😐

unaibiwaje? wewe ni chizi? fanyakazi kijana acha kulialia
 
😂😂😂 unanijua sana
 
Baba yangu ni police mstaafu lakini hawezi hata kunipa mil 1 nifanyie jambo. Yeye mwenyewe jobless kama mimi toka amestahafu.🥺😔
Watoto wa kota za police ndio sisi.

Unajua police au wanajeshi kwenye ndoto wanawakilisha nini
 
Nikupe namba ya Abdul? Nimetoka kumfungia dishi la DSTV kwenye mjengo wake mpya
 
Ndiyo maana matajiri ni wachache sana duniani kote, kwasabb ni wale tu wanaoweza kuzishinda hizo changamoto zote ulizozibainisha
 
Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia...

Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote zimejaa na wasomi kumwagikia..

Education fail ❌

Unatafuta hela uvae nguo nzuri iliyotengenezwa nchi za nje
Watu wanatumia pesa nyingi kwenye Mavazi

Chumba kizuri, Product nje ya nchi

Simu kali, ........

Magari na Security..... nje

Wabongo sisi tunaweza kufanya nini kama sio kurogana tu ?????

Kwasasa hata Ukifungua pharmacy kubwaaaa, ukigawa mshahara kwa wafanyakazi na kodi, boss unabakiwa na Negative

huu ni ukweli ambao watu hawasemi.

Fungua bar utatoa chozi, nakunywa bia mbili nahudumiwa na pisi tatu, mshahara boss anawapa nin ??

Money transfer or TigoPesa wakala
mimi kwenye hili nina uzoefu kabisa.

Mfanyakazi utaweza kulipa kodi na mahitaji yotee hadi progress ya mazingira ya office mwisho wa siku pesa unayopata kama faida ni kama Laki nne tu unakula inaisha, ukiwa na mke na watoto ndio basi tena
hapo mtaji umetumia kama M. 10.

Sasa wazazi wamesomesha wamemaliza hakuna wakukupa mtaji

Tanzania tutatoboa kweli ?????

Kwanini tupo nyuma sana kwenye uzalishaji ????

Hata kutengeneza Kiatu maarufu made in Tanzania Tumeshindwa ???

Mvua ndio hizo Mungu kila siku anakaza, mazao yanapatikana kwa shida sana
Kilimo cha umwagiliaji mtaji wake ni mkubwa tu, kiasi ambacho ni ngumu kuweza kuongoza Kampuni bila kula hasara, watu watakuibia sana.

Afe nyani afe kipa, wote tuajiriwe serikalini ???
Baba yangu ni police mstaafu lakini hawezi hata kunipa mil 1 nifanyie jambo. Yeye mwenyewe jobless kama mimi toka amestaafu.

You need Divine wisdom and direction 🙏🏾

Tunahitaji mabadiliko
Mfalme mwenye hekima za Kimungu.

NRNE
Surya
No REFORMS No ELECTION
 
Utakatishaji wa pesa ni mwingi ukiona hivyo na black markets kwa sana
 
Jobless tu

💯💯 mwsho tupo pamoja NRNE
 
Wahudumu wa bar tuwaonee huruma. Kuna sehemu nikaa nikamuuliza boss wao analioaje wafanyakazi akasema ni 70 Kwa mwezi na lunch tu. Kwamaisha yalivyoghali kwenye huu mji, niliwaonea huruma. Yaani Binti anabaki Hana namna inabidi apambane auze K
 
Back
Top Bottom