Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nisingewasumbua barabarani.Tungekupenda sana, kwani ungetufanyia nini mpaka tukupende?
Daaaahh ishanipita hiiSasa hatukwambii uchague
elezea vizuri usumbufu ganiNisingewasumbua barabarani.
Hahaaa, ila pesa ya kula huwa hawakosi!!Ni kazi ambayo inalipa sana, sema ni kama ina laana hivi.... huwa hawatoboi kimaisha wala nini!
Pesa inayopatikana kirahisi, hupotea kirahisi.Hahaaa, ila pesa ya kula huwa hawakosi!!
Elfu mbili za soda ndizo takusanya. Au vipi nitakuwa nawaonea?Utupunguzie foleni na jua kali hili.
Vibaya mno.Ina pesa.....???
Zinatangazwa....?Vibaya mno.
Halafu pesa yake haiumizi moyo kama wanavyoumia wa kada zingine.
Kuna vitengo vina pesa ila moyo unadunda kila saa
Ukiwa polisi unakatwa bogi la utrafiki mkimaliza phase one. Au ukinyoosha mkono unapangiwa tu bila kujali urefu wakoZinatangazwa....?
Sawa..... umri gani mwisho kujiunga na police?Ukiwa polisi unakatwa bogi la utrafiki mkimaliza phase one. Au ukinyoosha mkono unapangiwa tu bila kujali urefu wako