Kwasasa nikiambiwa nichague kazi nitachagua kuwa askari wa barabarani (traffic)

Tatizo hata zikitoka sifa yao kubwa nyingine ni uwe umepitia jkt [emoji38][emoji38]
Ukiwa driver full vyeti na leseni utapata chance kirahisi hata kama hujapitia Jakarta.
Vijana wa Jakarta wanapendwa kwakuwa wanafundishika kirahisi hasa kwenye FFU
 
Magufuli anawakubali sana wale vijana wa jkt so sizani kama atakubali raia kutoka kitaa nao waingilie hizo nafasi
 
Back
Top Bottom