Kwasasa nikitongoza lazima niulize kama ana Nguvu za kike

Kwasasa nikitongoza lazima niulize kama ana Nguvu za kike

uzuri mapenz sio lazima ni maamuzi,,eti ichawe hadi ilale
 
Surya wewe ni mtu wa heshima zako ukiachana na jf hadi nje ya jf..

Katika watu ambao wana heshima zao ukiacha min -me wewe pia upo mkuu...

Mkuu wewe ni mtu na heshima zako huwa sipingani na wewe hata kidogo mkuu wangu...
Ahsante mkuu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

##mtu na heshima zake πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kuna usemi..., Mapenzi hayana Heshima...
 
Back
Top Bottom