Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kutafuta fursa za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Ni wazi,
huenda maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania wanajisikia vibaya sana, dhidi ya ufanisi katika utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ya Tanzania kwa vitendo.
In fact,
Ziara za viongozi wakuu wa serikali sikivu ya CCM huko Marekani, Uingereza, Ufaransa, China, Urusi, Ujerumani na maeneo mengine duniani zimekua za mafanikio makubwa sana, ikiwa ni pamoja na kuvutia watalii na wawekezaji, lakini pia ziara za viongozi hao waandamizi wa serikali, zimendelea kuifanya Tanzania kua kisiwa cha amani na utulivu katika eneo zima la Africa.
Una maoni gani kuhusiana na hili? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania