Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kutafuta fursa za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Ni wazi,
huenda maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania wanajisikia vibaya sana, dhidi ya ufanisi katika utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ya Tanzania kwa vitendo.
In fact,
Ziara za viongozi wakuu wa serikali sikivu ya CCM huko Marekani, Uingereza, Ufaransa, China, Urusi, Ujerumani na maeneo mengine duniani zimekua za mafanikio makubwa sana, ikiwa ni pamoja na kuvutia watalii na wawekezaji, lakini pia ziara za viongozi hao waandamizi wa serikali, zimendelea kuifanya Tanzania kua kisiwa cha amani na utulivu katika eneo zima la Africa.
Una maoni gani kuhusiana na hili? π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Sudan inaungua foreign policy yetu haijurikani, Vita ya Iran, hatuna geopolitical position, ni sentiment za u islam tu kwa vile Rais ni wa upande ule,
Ethiopia inawaka moto, hatujatia neno,
Islamic terrorism imekithiri nchi/ukanda wa sahel hatukutia neno,
Acrophobia, Afrika kusini, tukafyata Mia, hatukutia neno, Dangote anajenga refinery lamu Kenya badala ya Tanga, hakuna maelezo, tumekalia "PR Politics" Siasa za, kuzindua vitu na kuuza sura,
Huko nje tunazungumziwa sio kwa mazuri ni kama Criminal state, hatuna tofauti na alivyokuwa Sadam house in, au Bashar Al Assad wa Syria, wa kubwa wanaangalia jinsi ya ku deal na hawa mafia walioiteka Tanzania,
"other countries have mafia, but in bongo, the mafia have the state/country, the ccm mafia have captured the country, from the parliament, military, law enforcement na kila kitu, "
Mbona Samia hafiki kwenye mikutano ya kimataifa hata ikifanyika hapa nchini?Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kutafuta fursa za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.