Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!.

wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho unayatumbua kama kenge aliekunywa safari lager!.

Chakufanya ongeza ufundi, imalisha ujuzi mpk nayeye aanze kuiomba usikae tu kama chatu aliemeza chura!.
pia huzulieni vikao sio mnateswa kidogo tu mnakuja kulialia!.
 
inategemea na mwanamke mwenyewe kuna sababu nyingi nyingi, mfano dini, muda n.k kwahiyo hapo inategemea cha muhimu fanya utafiti kumuelewa mwenza wako zaidi ili kujua chanzo
dini inashida gani kwenye hili..?
huo ni uzwazwa yani mtu ashindwe kutoa ushirikiano kisa dini!, binafsi nitapiga mabanzi ya shingo mtoto wa mtu!
 
Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!.

wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho unayatumbua kama kenge aliekunywa safari lager!.

Chakufanya ongeza ufundi, imalisha ujuzi mpk nayeye aanze kuiomba usikae tu kama chatu aliemeza chura!.
pia huzulieni vikao sio mnateswa kidogo tu mnakuja kulialia!.
Ahaa ookeey
 
Back
Top Bottom