Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

Huwez sex na hela huna ndio shida , ila ukiwez kimoja vyote unapewa

Jitahid kufanya ata kegel 20 per day
 
Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!.

wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho unayatumbua kama kenge aliekunywa safari lager!.

Chakufanya ongeza ufundi, imalisha ujuzi mpk nayeye aanze kuiomba usikae tu kama chatu aliemeza chura!.
pia huzulieni vikao sio mnateswa kidogo tu mnakuja kulialia!.
Dah! Nimecheka mpaka nimepaliwa
 
Back
Top Bottom