Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

Mkuu umeongea kweli,ukipewa mechi itendee haki mpaka mkimaliza apepeeko na feni
mazwazwa machache yanabisha natamani huu mdaharo ungekuwa mubashara yani ana kwa ana!, ningetandika watu mabanzi ya shingo tu!
 
Hawa madem wengi tunawaoa Kwa vile wamepigika kiuchumi, hana upendo wowote kwako ukishalioa likala wali likashiba, likasuka likavaa likapendeza linasahau yote, si unaijua shibe mwanamalevya. Ukilala nalo linaona kama limelala na non living flani hivi... Na wewe ulivomjinga kila saa unajiuliza why why why huyu mtu Yuko hivi. Aisee utachelewa bro... Tena ukilijengea likakaa lika relux utakua ukirudi home anaona kama ametembelewa na mjomba swebe wa marangu kule
 
🤣🤣 unamabango pro
 
Back
Top Bottom