mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Andaa makala uichapishe humu kisha wenye nyota zao watakuja kuongezea.itakuwa vyema tukiandaa semina ya kitendo na mniletee mdada mmoja atoke humuhumu ili nikawaonyeshe namna yakuichapa!
Kwa sababu wew umeshalifanya vya kutosha ndio unataka lifutwe.Tendo la ndoa lifutwe.....
Nani alifute?Tendo la ndoa lifutwe.....
Hata skanga haipo hivi😂bangi yako ni kali sana!
Sijawahi hataKwa sababu wew umeshalifanya vya kutosha ndio unataka lifutwe.
Wananchi tuiombe serikaliNani alifute?
Kwa hiyo watu wasioane pia,na ivyo wasizae,wasipozaa kizazi kisiwepo duniani,!!mawazo ya ajabu kweli haya!!!Linaleta migogoro na malalamiko sana, lifutwe
Hujawahi kufanya nini??Sijawahi hata
Hapana, sio lifutwe ila lifanywe na wana ndoa pekee, sio kama sasa linavyofanywa hata unashindwa kutofautisha na viumbe wengineTendo la ndoa lifutwe.....
Tena kabisa..Tendo la ndoa lifutwe.....
Tendo lifutwe hiliKwa hiyo watu wasioane pia,na ivyo wasizae,wasipozaa kizazi kisiwepo duniani,!!mawazo ya ajabu kweli haya!!!
Kabisa 😹Tena kabisa..
Inabidi kuwepo na kikao tukubulaiane kufuta tendo la ndoa
🤣🤣 unamabango proHawa madem wengi tunawaoa Kwa vile wamepigika kiuchumi, hana upendo wowote kwako ukishalioa likala wali likashiba, likasuka likavaa likapendeza linasahau yote, si unaijua shibe mwanamalevya. Ukilala nalo linaona kama limelala na non living flani hivi... Na wewe ulivomjinga kila saa unajiuliza why why why huyu mtu Yuko hivi. Aisee utachelewa bro... Tena ukilijengea likakaa lika relux utakua ukirudi home anaona kama ametembelewa na mjomba swebe wa marangu kule