Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
hamna haja ya kuendelea kuendesha shule ya namna hii inayototoa yai 100% :-*! Inabidi ifungwe la sivyo itakuwa kichaka cha kufundishana itikadi kali na chafu dhidi ya mfumo Kristo!NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21
Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.
I gues this can not happen in tz! Ngoja tusubiri!
Inashangaza mkuu, kumbe anahofia usalama wake na familia yake.............Mimi bado siamini mpaka itokee.Kumbe sio kung'atuka kwa ajili ya uwajibikaji bali "usalama wake na familia yake!" What a shame!
Kwanini necta wasingefanya kama drs la saba wakapunguza alama ili wafaulu wengi na serkali itangaze ufaulu mkubwa wa wanafunzi wa kidato cha iv-2012, mfano wangefanya hivi aliyepata D angepewa C na aliyepata F angepewa D ila wangekumbuka kuacha D n F za kudanganyia.Kama drs la saba walipunguza mpaka alama 70 badala ya minimal max 100 wangeweza kufanya hata huku mi naona wamewaonea sana.This is the governiment we deserve to have.
Ila hata kama akiondoka bado matokeo hayata badilika
Ataweka historia ya uungwana, kwani when things go wrong one should feel responsibility.Japo ni kashfa kutokana na uzembe wake ktk ku-handle swala la waalimu lakini atakuwa ameoga.
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21
Hapa zomba atakuambia ni matokeo ya MoU!
umenena mdau,Asije naye akasingizia CHADEMA kuwa wamewapa wananchi namba zake wakati yeye tu ndiye alishendwa kazi. Maskini jamaa ataondoka hana kitu hata kimoja cha kujivunia katika wizara zote alizowahi kupewa
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0
DIV-II = 0
DIV-III = 0
DIV-IV = 0
FLD = 21
Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.
ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.