Kwawamba Hatarini Kujiuzulu

Kwawamba Hatarini Kujiuzulu

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS

S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21

Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.
hamna haja ya kuendelea kuendesha shule ya namna hii inayototoa yai 100% :-*! Inabidi ifungwe la sivyo itakuwa kichaka cha kufundishana itikadi kali na chafu dhidi ya mfumo Kristo!
 
Anasubiri nini mpaka siku zote hizo? atangaze hata sasa hivi itakuwa ahueni kwa Taifa
 
Kwanini necta wasingefanya kama drs la saba wakapunguza alama ili wafaulu wengi na serkali itangaze ufaulu mkubwa wa wanafunzi wa kidato cha iv-2012, mfano wangefanya hivi aliyepata D angepewa C na aliyepata F angepewa D ila wangekumbuka kuacha D n F za kudanganyia.Kama drs la saba walipunguza mpaka alama 70 badala ya minimal max 100 wangeweza kufanya hata huku mi naona wamewaonea sana.This is the governiment we deserve to have.
 
Kumbe sio kung'atuka kwa ajili ya uwajibikaji bali "usalama wake na familia yake!" What a shame!
Inashangaza mkuu, kumbe anahofia usalama wake na familia yake.............Mimi bado siamini mpaka itokee.
 
Kwanini necta wasingefanya kama drs la saba wakapunguza alama ili wafaulu wengi na serkali itangaze ufaulu mkubwa wa wanafunzi wa kidato cha iv-2012, mfano wangefanya hivi aliyepata D angepewa C na aliyepata F angepewa D ila wangekumbuka kuacha D n F za kudanganyia.Kama drs la saba walipunguza mpaka alama 70 badala ya minimal max 100 wangeweza kufanya hata huku mi naona wamewaonea sana.This is the governiment we deserve to have.

Inasemekana kulikuwa na mpango huo lakini yule mama Ndalichako alikataa, kwa hiyo naye anaweza kuondolewa.
 
Ataweka historia ya uungwana, kwani when things go wrong one should feel responsibility.Japo ni kashfa kutokana na uzembe wake ktk ku-handle swala la waalimu lakini atakuwa ameoga.

Point of correction, hajasema ana resign kwasababu ya matokeo mabovu, ana resign kwasababu ya kutishiwa maisha yake binafsi na familia yake so kinacho msukuma kung'atuka sio uzalendo wa/kwa nchi yake bali kwa familia yake, sioni cha kumsifia! Ila binafsi ningependa aondoke hata sasa cause huyu amepwaya kila sehemu, mfano, akiwa Waziri wa miundo mbinu, bei za ujenzi wa barabara zilipanda kwa zaidi ya mara 2 ukilinganisha na enzi za Maghufuri akiwa na Mkapa, pia tumeshuhudia ujenzi wa barabara mbovu kabisa kipindi chake, angalia barabara ya Kilwa na kipande cha Dodoma Mwanza, watu walichakachua kweli, Maguguri imebidi awapige mkwara Wachina na kweli wana rudia, kwenye Ubunge, mkuu huyu mbele yake ile tenda ya kujenga vyoo vya shule, matundu saba yamejngwa kwa 7,000,000/= Bado napata shida kuamini kama huyu naye ni PHD holder!
 
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS

S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0
DIV-II = 0
DIV-III = 0
DIV-IV = 0
FLD = 21

Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.

Ahhhh...! Hapa wangefunga kwanza ili ijulikane moja.
 
yaaani anajiuzuru kwa sababau anatishiwa maisha na sio kwa sababu anawajibika..............mma po imbombo jilipo!

ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.
 
Mbona nyingi sana hizo????si tulitegemea palepale alipotangaza matokeo angemalizia na kujivua uwaziri
 
Mmh!! sidhani kama kuna ukweli wowote kwenye tetesi hizi...kigezo kilichotumika na mleta mada bado naona kwa wazee wa fitna serikalini wanaweza kukishughulikia...
Huyu bwana anaonekaba anapenda sana madaraka, ataishia kule kule kwa kina Ngeleja, Nundu & co kung'ang'ania ofisi hadi walipofukuzwa.
 
bora ajiuluzu kabla nguvu ya umma haijamtoa,ratiba inasoma kuwa mbowe akimaliza uzinduzi wa kanda kifuatacho ni kufagia uongozi wa hiyo wizara kwa maandamano.
 
Nafikri waziri anapaswa kupima na kisha atumie busara ajiuzuru tu.

ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.
 
ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.

Da kumbe huyu jamaa anang'atuka si kwa sababu ya matokeo mabaya, ila usalama wa familia yake.

Basi itabidi hawa jamaa kuwalazimisha kujiuzuru tuvamie familia zao. Maana vinginevyo nchi itaangamia, hawajiuzuru.
 
Back
Top Bottom