Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi chukueni hatua za kisheria dhidi ya Diamond & Zuchu

Kuchezea wimbo wa kumsifu Bwana Yesu,sio sahihi,na kuleta maswala ya kingono ngono,hata kama ni maigizo kanisani sio Sawa,
Kwanini asifanye zuchu yupo msikitini,ana inama kusujudu mara sm inaita,anaiacha anaenda nje kutongozeka na kuongea kizinifu na mzinzi mwenzie,
Hii video haijakaa vzr kabisa,kama unataka kutumia nyumba ya Ibada,basi wimbo hata kama ni WA mapenzi,basi yasiwe yenye viashiria vya uzinifu.
Kama anaamini hajafanya kosa,atengeneze nyingine ahusishe msikiti.
 
Kama mlivyo wafuasi wa marehemu mudi mnavyokwepa hoja ya msingi ya KWANINI WASIFANYIE HUO USHUZI WAO MSIKITINI ILIHALI WOTE NI WAISLAMU
Kanisani ndipo waliporuhusiwa na wahusika,hili povu lipeleke kwa walio waruhusu kama unaona kuna kosa limefanyika
 
Wenzako washapigwa mpunga siku nyiiiiingi we ndo unashtuka leo? umeliwa mzee baba!!
 
kuna hadi porns zinaoneshwa wacheza Porn wamevaa mavazi ya Kiikristo na wananjunjana Kanisani
Unaonekana ni mtazamaji mzuri sana wa porn.

Nafikiri kama umeona hizo ulizosema basi utakuwa umeona na zile za category ya middle east (Arab states) za wenzako wenye hijab kama wewe wakiguswa tundu dogo (tigo).

Jaribu kuonesha maturity kidogo binti, usitumie kigezo cha kosa kupita bila kuadhibiwa kuhalalisha kosa lingine kufanyika.

Achilia mbali huko duniani unapozungumia ni jamii nyingine kabisa wana sheria, kanuni, taratibu na maadili yao ambazo ni tofauti kabisa na hapa tz
 
Seems mhuni ashapigwa pini tayari..
Halafu wengi wanaojifanya wakristo humu na kutetea huo ujinga, siyo wakristo!
 
Watu wangu wanateketea kwa kukosa marifa DINI za watu zina tugombanisha zina tugawanyisha sijui tunaelekea wapi sema siku yajaa
 
Watakuja kusema huna akili,
ngoja waje...
 
Dada hapa unaupiga mwingi Sana nimeikubali hoka yako
 

Sasa nimejua kabisa umejaza kamasi badala ya ubongo,
Huko unaposema Duniani kwenye Sheria, Kanuni, Taratibu tofauti ndio walioileta hiyo dini unayoisimamishia mishipa ya vidole hapa,

Na ulivyokua huna akili zaidi unadhani kila mvaa hijab ni Muislam na kusahau ile ni tamaduni ya uvaaji wa Waarabu,

Hebu tuambie wapi wanaonesha wapo Msikitini wanafanya ushenzi zaidi ya kuoneshwa Nuns na Fathers wakinjunjana Kanisani madhahabuni kabisa.
 
Dah[emoji26][emoji26]
 
Hivi hao watu waliotOa malalamiko wimbo wameanza Jana kuuona?
 
Wewe ni kilaza sio mkristo jiulize kwanini asingetumia msikiti??!amka wewe kiazi upole umezidi wanachafua makanisa eti hakuna tatizo??!!🙄🙄🙄🙄mbona misikiti hawakubari??!!hebu kaa kimya wewe kilaza
 
Nilikuwa najiuliza tatizo lako nini, kumbe ushamba wa kijijini.

Yani mtu anamsifu Yesu wewe unasema anadhalilisha ukirsto, chuki zilizochanganyika na ushamba.
Wewe ni kilaza kwanini hakurekodia kwenye msikiti??!!kwahiyo akivyosema hivyo akaenda kujenga msikiti kwa mgongo wa kanisa sindio??!!
 
Miongo kadhaa huko mbeleni wajukuu zetu watakua wanashangaa sana kwamba eti tulikua tunatoa macho mitandaoni kisa video kanisani kwa dini za kuletewa na merikebu

Huko zilikotoka hizi dini wala hawana shida na vitu vidogo kama hivi

Nimeangalia movies nyingi sana hadi za Middle East watu wanaigiza UHALISIA na sio hisia za misingi ya dini
Yaani kama stori inahusu padri/imamu anafanya ujinga kupitia kanisa/msikiti itaonyeshwa.

Sanaa na imani ya muigizaji au muongozaji ni vitu viwili tofauti
Kutaka muigizaji wa dini fulani lazima aigize maudhui ya dini yake hio itakua sio sanaa tena, itakua DINI

Majuzi tu nilikua naangalia movie ya Hindi/usa jamaa kaingia msikitini kalewa halafu sio muislam anazuga tu kumdanganya baba mkwe...... ingetokea Tz waislam wangeandamana mchi nzima na bakora

Na hapa lazima tuseme ukweli tatizo kubwa katika issue ya wimbo huu ni DIAMOND

Kuna video zina maudhui kama huu wimbo lakini hakuna aliyelalamika
Bongo movie kibao tena za kishenzi kweli kweli lakini hakuna aliyelalamika
Mondi aliimba wimbo Hallelujah ikawa hapatoshi hapa....... oooh
Mondi anavaa cheni yenye msalaba waislam wenzake wakamjia juu tena mashekh wakubwa tu

Tuacheni ushamba wa hizi imani za kuletewa na ngalawa
 
Mkristo jina tu.
Yesu mwenyewe alipindua meza za walanguzi kwa kuona wivu nyumba ya ibada kuchezews hovyo.
 
Kwenye porn hujaona hijab
 
Mbona hua hatanii tanii uislam hata kidogo.Siku 1 aimbe Basi nasafisha mtaro sijui nini halafu amalizie kwa kusema Takbiiiir,tuone reaction ya waislam itakuaje.
Shida sana hawa wakristo wa sasa Yesu alikaa na walevi na wazinzi na waovu wengine, lengo ujumbe uwafikie wafanye mazuri, sasa nyie badala ya kumfikishia ujumbe mnataka aombe radhi huku ni kuchanganyikiwa
 
Mkristo jina tu.
Yesu mwenyewe alipindua meza za walanguzi kwa kuona wivu nyumba ya ibada kuchezews hovyo.
Yesu alikaa na walevi na wazinzi, maana hao alikuja kwa ajili yao , alikula nao na alikunywa nao, Diamond anawajibika kwa Mungu sio binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…