kachwankizi
Member
- Sep 9, 2024
- 95
- 151
Pamoja na yote lakini tukunbuke hatuna mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yeyote yule mwenye mamlaka ya kutoa uhai ni alitupa pumzi tuuNInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao.
Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii huamini kuwa mwanamke ameonewa. Tena mjadala wako ukilalia upande wa mwanamke basi unaonekana wewe mtetezi wa haki Za binadamu au jinsia.
Uamuzi wa kweka unamsongo wa mawazo unaosababishwa na jamii kumuacha.
Kama ni kweli ebu fikiria mke wako anaongea mbele yako na wapenzi wake kwenye simu kuhusu masuala ya mapenzi yao ni maumivu kiasi gani Kweka ameyapitia.. Jamii impe kweka nafasi ya kufunguka alafu kila mti avae viatu vyake.
Im humbled bro... ulinivusha parefu mnoI know bro 🙇🏿♂
Me tuache ufala wa kubananishwa na changamoto tele tukiendelea kukomaa bila kuomba hekima kwa Mungu, ushauri kwa ndugu, jamaa na rafiki, kutafuta mahali pa siri kulia sana hata kupiga kelele kama ufukweni mwa mito au baharini tukikomaa kufa na tai shingoni eti ndiyo uanaume.NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao.
Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii huamini kuwa mwanamke ameonewa. Tena mjadala wako ukilalia upande wa mwanamke basi unaonekana wewe mtetezi wa haki Za binadamu au jinsia.
Uamuzi wa kweka unamsongo wa mawazo unaosababishwa na jamii kumuacha.
Kama ni kweli ebu fikiria mke wako anaongea mbele yako na wapenzi wake kwenye simu kuhusu masuala ya mapenzi yao ni maumivu kiasi gani Kweka ameyapitia.. Jamii impe kweka nafasi ya kufunguka alafu kila mti avae viatu vyake.
Pamoja sana brother 💪🏿❗Im humbled bro... ulinivusha parefu mno
Hili nalo amelisema house girl anaemwagiwa sifa au hajalisema?Kama ni kweli ebu fikiria mke wako anaongea mbele yako na wapenzi wake kwenye simu kuhusu masuala ya mapenzi yao ni maumivu kiasi gani Kweka ameyapitia..
Anapigwa chache.Bahati mbaya dunia haimthamini mwanaume kabisa
Kwa vyovyote vile Kuna mambo mengi hapa ambayo jamii haijui
Mbaya zaidi kwake ataweza fungwa maisha au kuoga mvua ya miaka mingi jela
Una hoja uzingatiweWanaume tuache ufala wa kubananishwa na rundo la changamoto na kuendelea kukomaa bila kuomba hekima kwa Mungu, ushauri kwa ndugu , jamaa na rafiki, kutafuta mahali pa siri kulia sana hata kupiga kelele kama ufukweni mwa mito au baharini tukikomaa kufa na tai shingoni eti ndiyo uanaume.
Yesu mwenyewe alilia, who are you by the way?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hata akifunguka ataonekana muongo(katia chumvi) maana wa kumjibu hayupo!NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao.
Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii huamini kuwa mwanamke ameonewa. Tena mjadala wako ukilalia upande wa mwanamke basi unaonekana wewe mtetezi wa haki Za binadamu au jinsia.
Uamuzi wa kweka unamsongo wa mawazo unaosababishwa na jamii kumuacha.
Kama ni kweli ebu fikiria mke wako anaongea mbele yako na wapenzi wake kwenye simu kuhusu masuala ya mapenzi yao ni maumivu kiasi gani Kweka ameyapitia.. Jamii impe kweka nafasi ya kufunguka alafu kila mti avae viatu vyake.
Sawa mkuu ngoja nii saveAnapigwa chache.
Tunza hii comment
NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao.