Kwenye mawazo, yanayoendeshwa na ubongo.
Eiyer hata mimi sijui roho ni nini na inakaa wapi, kama unaweza kusaidia, pamoja na JingalaFalsafa, juve2012 na RakimsMtoa mada ungejifunza kwanza roho ni nini ili uweze kujua kama inaweza kukaa sehemu au haiwezekani!
Unazunguka palepale hujajibu swali.
mawazo ndio mkasakinyiko wa huruma,hasira,na hekima. naomba unijibu kama inavyotakiwa.
kwa jibu lako la kusema mawazo yanayoendeshwa na ubongo bado hujaniambia hivyo vitu huwanga vinakaa wapi?
na ubongo njisi ulivyoelezea maana yake mawazo yanesehemu yake na ubongo unesehemu yake lakn ubongo ukemaa kama generetor(au umeme) kwamba ili kitu kiwenze kufanya kazi kinatakiwa kiwe na nyezo kama umeme .
Mtoa mada ungejifunza kwanza roho ni nini ili uweze kujua kama inaweza kukaa sehemu au haiwezekani!
Kwenye mawazo, yanayoendeshwa na ubongo.
Ukiwa unajiangalia kwenye kio sura yako iko ndani ya kio au nje ya kio?????,huo ndio mfano harisi wa roho na mwili!!
Inawezekana kuna roho ndani ya miili yetu pindi ikiwa na uhai. Roho nahisi ipo kila sehemu ya mwili wa binadamu ila hakuna mtu aliewahi kuifafanua jinsi ilivyo. Tukifa na kufufuliwa (Yesu atakaporudi) tutaweza kujua ukweli wa roho.
human beings cannot have an answer on such question,because we a limited in terms of what we can know. Therefore,no one can give a rational account either to deny or affirm the existence of the soul.
Ulivyojibu na mimi naweza kukukijibu kama ifatavyo.
Roho ni nafisi inayoogozwa na moyo.
sidhani utakuwa umenielewa.
I think there is no any contradiction in my claim. Your example is irrelevant with what i said. KirangaLogic dictates a convergence towards knowledge by verification, else, anything is possible and impossible at the same time, which is most absurd.
"Nafisi" ni nini?
Na kwa nini inaongozwa na moyo na wala si ubongo, maini au figo?
Unaongeza maswali tu, bila kutoa majibu.
Maswali yote uliyouliza yageuze kwa upenda wako?
mawazo ni nini?
yanakaa wapi katika mwili
kwa nini yanaogozwa na ubongo na siyo damu, vidole au mfupa??
I think there is no any contradiction in my claim. Your example is irrelevant with what i said. Kiranga
no contradiction. First i said there is no answer in virtue of our limitedness in acquiring knowledge. I never meant that there is no answer in your sense. I think it is self evident truth that human beings are finite in different dimension including what we can know.There is a contradiction.
First you say there is no answer to the question.
Then you say human beings are limited in their knowledge.
If human beings are limited in their knowledge, how do you know that your assertion that there is no answer to this question is not true and merely a reflection of your limitation in knowledge regarding the matter?
The latter contradicts the finality you posed the former with.
Si lazima kuchangia kila mada hapa jukwaani, ni busara pia kusoma na kujifunza, maelezo yako mengi hapa hayana logic kwasababu tu unachokiandika hukijui na hukielewi kwakuwa una-copy na ku-paste comments za watu wengine kutoka hapa:Is Atheism mindless? - Page 8 na kujifanya ni za kwako na kujiita great thinker. So sio wote hapa ndani wapuuzi na wajinga kama wewe, changia kwa kwa uelewa wako na si KU-COPY na KU-PASTE.
You have no naturalistic mechanism to account for the vast existence of highly ordered, specifically designed, complex and integrated systems driven by DNA information.
Instead, you have a blind Naturalistic faith that ignores reason and evidence by imposing dogma. Your faith is as irrational as the most rabid fundamentalist.