Kweli Dkt. Slaa kwenye matamshi yake ametamka "tutafanya hivyo"?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Nimesikiliza kipande cha clip ya Dkt. Slaa kinachoongelea mapinduzi (sijui ya nchi gani) ila sijasikia maneno " tutafanya hivyo".

Kwenye issue serious kama hii, kuweka clip vipande vipande au kumlisha mtu maneno ni zaidi ya uhaini wenyewe.

Kama hayo maneno mawili hayapo, nashauri hata uzi husika ufutwe.
 
Jiulize swali dogo tu, huyo aliyeandika Dr. Slaa ametamka hayo maneno, kwanini ameshindwa kutuwekea video inayoendana na kile alichoandika ili kuthibitisha madai yake dhidi ya Dr. Slaa?

Video wanayoiweka, ni kipande kifupi, kisichozidi hata sekunde kumi, ambacho nacho hakitoshi kuthibitisha madai yao dhidi ya Dr. Slaa, maneno ya kwenye video ni machache sana ukilinganisha na yale aliyoandika mleta mada, huyu ni wazi ametunga.

Miaka yote ukiona uzi umevamiwa na Ritz kahtaan FaizaFoxy na wale wengine wawili, ujue hapo ni udini tu, hakuna facts, wapuuzwe.
 
Mods wajiridhishe kuhusu yaliyotamkwa kwenye clip na yaliyonukuliwa hapa JF.kwa maandishi na wachukue hatua stahiki in case kuna upotioshaji wa makusudi.

Hizo nukuu karibu zote naona zina maneno ambayo kwenye clip hayapo sio tu ya Dr. Slaa hata za hao watuhumiwa wengine.
 
Watanzania msiogope hakuna kesi pale. Uhaini ni issue nyeti sana hata kama utamke ila bado lazima jamuhuri ithibitishe uwepo wa mipango ya kufanya kosa hilo.

By the way mods wamekuwa hash na kuchukua hatua ukitoa tuhuma zisizo na uthibitisho kwa serikali na wamekuwa wakitazama tuu watu binafsi kama kina slaa wakishambuliwa.

Samper fidels
 
Mods wajiridhishe kuhusu yaliyotamkwa kwenye clip na yaliyonukuliwa hapa JF.kwa maandishi na wachukue hatua stahiki in case kuna upotioshaji wa makusudi.

Hizo nukuu karibu zote naona zina maneno ambayo kwenye clip hayapo sio tu ya Dr. Slaa hata za hao watuhumiwa wengine.
Upotoshaji upo tena wa wazi kabisa.

Clip wanayoiweka haisemi maneno yote yaliyoandikwa na mleta mada, ameongezea maneno ya uongo makusudi kwa malengo yake maovu.
 
Jiulize swali dogo tu, huyo aliyeandika Dr. Slaa ametamka hayo maneno, kwanini ameshindwa kutuwekea video itayoendana na kile alichoandika ili kuthibitisha madai yake dhidi ya Dr. Slaa?

Video wanayoiweka, ni kipande kifupi, kisichozidi hata sekunde kumi, ambacho nacho hakitoshi kuthibitisha madai yao dhidi ya Dr. Slaa.

Miaka yote ukiona uzi umevamiwa na Ritz kahtaan FaizaFoxy na wale wengine wawili, ujue hapo ni udini tu, hakuna facts, wapuuzwe.
Siku wakipelekwa mahakamani kasikilize
 
Nimesikiliza kipande cha clip ya Dkt. Slaa kinachoongelea mapinduzi (sijui ya nchi gani) ila sijasikia maneno " tutafanya hivyo".

Kwenye issue serious kama hii, kuweka clip vipande vipande au kumlisha mtu maneno ni zaidi ya uhaini wenyewe.

Kama hayo maneno mawili hayapo, nashauri hata uzi husika ufutwe.
Salary Slip nimeandika humu ingawa akina Maxence Melo wanafuta. Nimeandika kuwa hapa hakuna kesi ya kujibu. tatizo ni majaji wanaopigiwa simu! Kesi ya Mbeya ni ushuhuda wa leo hii. kama kuna competent judges, hawa wanatoka siku hiyo hiyo ya mention...hawana kesi ya kujibu...
 
Serikali inapotaka kufanya UHAINI dhidi ya RAIA wasio na silaha, jeshi au umma kuhamasishwa wakakakubali kutekeleza kiilichosemwa kwa maneno ya mdomo ni hatari zaidi kuliko sumu ya swila. Serikali inatengeneza mafarakano yasiyo na tija yoyote kwa nchi, watawala na wananchi wake ila ni kupanda chuki zitakazodumu vizazi na vizazi kwa ajili ya kukomoana kisa kukosoa.
 
Serikali inapotaka kufanya UHAINI dhidi ya RAIA wasio na silaha, jeshi au umma kuhamasishwa wakakakubali kutekeleza kiilichosemwa kwa maneno ya mdomo ni hatari zaidi kuliko sumu ya FIRA. Serikali inatengeneza mafarakano yasiyo na tija yoyote kwa nchi, watawala na wananchi wake ila ni kupanda chuki zitakazodumu vizazi na vizazi kwa ajili ya kukomoana kisa kukosoa.
na chuki imeshakuwa permanently implanted among Tanzanians against CCM na vizazi vyao. Hii kitu itawaangamiza CCM na vizazi vyao hata iwe miaka 200!
 
Nimesikiliza kipande cha clip ya Dkt. Slaa kinachoongelea mapinduzi (sijui ya nchi gani) ila sijasikia maneno " tutafanya hivyo".

Kwenye issue serious kama hii, kuweka clip vipande vipande au kumlisha mtu maneno ni zaidi ya uhaini wenyewe.

Kama hayo maneno mawili hayapo, nashauri hata uzi husika ufutwe.
 
Attachments

  • 502e45e5-d55b-40ec-aebe-949be907da0e.mp4
    2 MB
Salary Slip nimeandika humu ingawa akina Maxence Melo wanafuta. Nimeandika kuwa hapa hakuna kesi ya kujibu. tatizo ni majaji wanaopigiwa simu! Kesi ya Mbeya ni ushuhuda wa leo hii. kama kuna competent judges, hawa wanatoka siku hiyo hiyo ya mention...hawana kesi ya kujibu...
Hayo ya kuwa na kesi ya kujibu au hawana ni jukumu la Mahkama ndio itaamua
 
Jiulize swali dogo tu, huyo aliyeandika Dr. Slaa ametamka hayo maneno, kwanini ameshindwa kutuwekea video inayoendana na kile alichoandika ili kuthibitisha madai yake dhidi ya Dr. Slaa?

Video wanayoiweka, ni kipande kifupi, kisichozidi hata sekunde kumi, ambacho nacho hakitoshi kuthibitisha madai yao dhidi ya Dr. Slaa, maneno ya kwenye video ni machache sana ukilinganisha na yale aliyoandika mleta mada, huyu ni wazi ametunga.

Miaka yote ukiona uzi umevamiwa na Ritz kahtaan FaizaFoxy na wale wengine wawili, ujue hapo ni udini tu, hakuna facts, wapuuzwe.
unataka kusema slaa hajasema hayo maneno? hata kichaa atakushangaa slaa ni mhaini hulkumu yake ni kunyongwa hadi kufa
 
Jiulize swali dogo tu, huyo aliyeandika Dr. Slaa ametamka hayo maneno, kwanini ameshindwa kutuwekea video inayoendana na kile alichoandika ili kuthibitisha madai yake dhidi ya Dr. Slaa?

Video wanayoiweka, ni kipande kifupi, kisichozidi hata sekunde kumi, ambacho nacho hakitoshi kuthibitisha madai yao dhidi ya Dr. Slaa, maneno ya kwenye video ni machache sana ukilinganisha na yale aliyoandika mleta mada, huyu ni wazi ametunga.

Miaka yote ukiona uzi umevamiwa na Ritz kahtaan FaizaFoxy na wale wengine wawili, ujue hapo ni udini tu, hakuna facts, wapuuzwe.
Nenda mahakamani kawatetee. Kwani aliyepo ndani Slaa peke yake? Sikiliza tena:

Back
Top Bottom