Kweli dunia tunapita. Huwezi amini enzi za Polepole, Makonda na Bashiru zimepita kama umande

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
 
Ubabe wa Bashiru na Makonda ulitegemea sana uwepo wa mwendazake.
Walimtegemea kiumbe mwenzao.
Polepole tumsamehe bure utoto ndio ulimsumbua.
Hawakumtegemea.....

Kama wangemtegemea nao wangehiyari KUZIKWA...
 
Tatizo walitenganisha watanzania na chama chao. Watanzania walikuwa kimya na kuwashabikia kumbe walikuwa wanaumia na walikuwa hawana wakuwasikiliza.

Tatizo waliacha kuongoza nchi wakaingilia maisha ya watu kwa ubabe. Athabu waliowapa watanzania wengi wakafa wengine vilema wengine wamekufa masikini kabisa.

Miaka mitano ya historia hatutasahau. Nadhani hata wao wanaona furaua ya watanzania ilivyosasa. Wanachakujifunza.
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka polepole anaepigia wakuu wa wilaya mikoa mpaka igp simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba Ana konekshen kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba kegan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.

1625712397180.png
 
Hujakamilisha, taja & sons Ltd
  1. Ray C
  2. 7ya
  3. Happiness
  4. Mlishe Gamba - alikimbilia nguzo nyingine lakini malipizi lazima yatakuja
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka polepole anaepigia wakuu wa wilaya mikoa mpaka igp simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba Ana konekshen kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba kegan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Hao wote angali jamii ambazo wametoka zinahali gani mkuu? ogopa kumpa madaraka mtu ambaye ametoka sehemu masikini
 
Mbona maada hii ishaongelewa sana?

Hata Juma Nature, Lunyamila, Mwinyi Mzee zishapita ndio maisha

TV za kichogo, simu za kizamani, zishapita

Ni maisha

Wewe hapo pia enzi zako kuna vitu uliweza kwa sasa hauwezi tena, ni maisha

Jadili vitu vya maana hapa
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka polepole anaepigia wakuu wa wilaya mikoa mpaka igp simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba Ana konekshen kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba kegan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka polepole anaepigia wakuu wa wilaya mikoa mpaka igp simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba Ana konekshen kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba kegan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Ile topic ya Earth as a Sphere au Revolution of the Earth shuleni ina maana sana
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Mwache Makonda aendelee kula upepo.

Screenshot_20210703_215905.jpg
 
Mleta uzi huwezi kukataa dhana ya kwamba unajadiri watu. Kama ni hivyo jaribu kuwa fair kidogo kwa kujaribu kujilinganisha wewe na hao unao wajadiri ktk vipengere vichache tu kama kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Vinginevyo hoja yako ya duniani tunapita haina mashiko kwa mifano uliyoitoa kwa sababu nchi hii uongozi unaukomo wa muda.
 
Back
Top Bottom