Kweli dunia tunapita. Huwezi amini enzi za Polepole, Makonda na Bashiru zimepita kama umande

Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Na Sabaya amechuchumaa na pingu mikononi mbele ya polisi waliokuwa wakimpigia saluti kali! Tutaelewana taratibu.
 
Muhimu ni kuvumilia, alikuwepo Basil Mramba na Daniel Yona enzi ya Mkapa, hii duo ilikuwa hatari hujaona. Lakini Leo wako wapi?
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Yani sitaki hata kuzikumbuka hizi mbuzi maana zilijihakikishia kuwepo milele ndiyo maana zikajiandaa kubadili sheria magufuli atawale milele ili nazo zisumbue milele haswa huyu pole pole na bashite pumbavu kabisaaaaaaaa wajaribu kwenda kaburini kuhiji
 
Cheo ni dhamana, cheo ni koti la kuazima. Livae kwa staha, huku ukijizoesha kuliacha kwa muda kidogo
Kwa mimi ninavoelewa hata hii ni zama ya makonda, yule jamaa niliona picha alikuwa anapiga selfie na Samia kabla ya Samia kuwa makamu.
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Mzalamo kalonga,, mungu kibidu, yahakubidula mkono wa kumoso koudila... see transl.....
 
Hujakamilisha kazi, taja & sons Ltd
  1. Ray C
  2. 7ya
  3. Happiness
  4. Mlishe Gamba - alikimbilia nguzo nyingine lakini malipizi lazima yatakuja
Daah! Hawa nao walitamba hatari. Huyo namba 4 ameanza kujiondoa taratibu kwa kusema kuna Mambo yalifanyika mkoani kwake kwa maagizo toka juu. Hata yeye hakuyajua.
 
Hao wote angali jamii ambazo wametoka zinahali gani mkuu? ogopa kumpa madaraka mtu ambaye ametoka sehemu masikini
Mbowe katoka jamii yenye uafadhali lkn kakatalia kwenye uenyekiti utajiri au umaskini siyo sababu ya kuwa kiongozi bora maana kiongozi bora lzm awe na vision.
 
Daah! Hawa nao walitamba hatari. Huyo namba 4 ameanza kujiondoa taratibu kwa kusema kuna Mambo yalifanyika mkoani kwake kwa maagizo toka juu. Hata yeye hakuyajua.
🤣😂
 
Mbona maada hii ishaongelewa sana?

Hata Juma Nature, Lunyamila, Mwinyi Mzee zishapita ndio maisha

TV za kichogo, simu za kizamani, zishapita

Ni maisha

Wewe hapo pia enzi zako kuna vitu uliweza kwa sasa hauwezi tena, ni maisha

Jadili vitu vya maana hapa
Hao uliowataja walau walimantain kidogo, hawa wengine wamepotea kama upepo, hali zao za januari na june ni tofauti.
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Wmerudi waikotoka hawa wote unaoongelea. Wote walionyesha ulimbukeni na kujikomba fulani kiasi cha kupata adhabu ya mwenyewe. Liwe somo kwa wengine.
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.

Nimewaona watu katikati ya wanadamu
 
Polepole wa sasa
IMG_7565.jpg

IMG_7564.jpg
 
Ubabe wa Bashiru na Makonda ulitegemea sana uwepo wa mwendazake.
Walimtegemea kiumbe mwenzao.
Polepole tumsamehe bure utoto ndio ulimsumbua.

Nani kakuambia Polepole ni mtoto??!!--- au wewe ndiye Baba yake??!!, hebu tuambie !! 🤔
 
Back
Top Bottom