Hawakumtegemea.....Ubabe wa Bashiru na Makonda ulitegemea sana uwepo wa mwendazake.
Walimtegemea kiumbe mwenzao.
Polepole tumsamehe bure utoto ndio ulimsumbua.
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka polepole anaepigia wakuu wa wilaya mikoa mpaka igp simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba Ana konekshen kubwa dah maisha haya.
Makonda akiwa kileleni baba kegan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.
Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.
Kuna la kujifunza.
Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Hujakamilisha, taja & sons LtdHakika dunia tunapita

Hao wote angali jamii ambazo wametoka zinahali gani mkuu? ogopa kumpa madaraka mtu ambaye ametoka sehemu masikiniHakika dunia tunapita
Nikimkumbuka polepole anaepigia wakuu wa wilaya mikoa mpaka igp simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba Ana konekshen kubwa dah maisha haya.
Makonda akiwa kileleni baba kegan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.
Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.
Kuna la kujifunza.
Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Hao walipewa kiburi sn na diktetaCheo ni dhamana, cheo ni koti la kuazima. Livae kwa staha, huku ukijizoesha kuliacha kwa muda kidogo
Mleta uzi idea anayoijadili ni kua humble duniani tunapita na cheo ni dhamana. Ili kuthibitisha idea yake ametumia mifano ya hao watu 😅
tushachoka na haoMleta uzi idea anayoijadili ni kua humble duniani tunapita na cheo ni dhamana. Ili kuthibitisha idea yake ametumia mifano ya hao watu 😅
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka polepole anaepigia wakuu wa wilaya mikoa mpaka igp simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba Ana konekshen kubwa dah maisha haya.
Makonda akiwa kileleni baba kegan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.
Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.
Kuna la kujifunza.
Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Ile topic ya Earth as a Sphere au Revolution of the Earth shuleni ina maana sanaHakika dunia tunapita
Nikimkumbuka polepole anaepigia wakuu wa wilaya mikoa mpaka igp simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba Ana konekshen kubwa dah maisha haya.
Makonda akiwa kileleni baba kegan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.
Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.
Kuna la kujifunza.
Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Polepole ni mtoto!! Kama vile alivyo ni mtoto, atakapokuwa mzee atakuwaje?Ubabe wa Bashiru na Makonda ulitegemea sana uwepo wa mwendazake.
Walimtegemea kiumbe mwenzao.
Polepole tumsamehe bure utoto ndio ulimsumbua.
Mwache Makonda aendelee kula upepo.Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .
Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.
Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.
Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.
Kuna la kujifunza.
Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Jamii gani tanzania ila hali nafuu? Umejaa ujinga tu ukimiliki IST unajiona umefika kumbe bado ni masikini tu huna lolote.Hao wote angali jamii ambazo wametoka zinahali gani mkuu? ogopa kumpa madaraka mtu ambaye ametoka sehemu masikini