Kweli dunia tunapita. Huwezi amini enzi za Polepole, Makonda na Bashiru zimepita kama umande

Polepole? Andika ukutani jina hili ni Kama mbegu inayozama chini ya ardhi,unafikiri imepotea,baada ya siku nyingine unaiona inaibuka Tena.
Huyu ndiye .......ajaye siku za usoni.
 
Una MAANA hawa JAMAA?
 
Ubabe wa Bashiru na Makonda ulitegemea sana uwepo wa mwendazake.
Walimtegemea kiumbe mwenzao.
Polepole tumsamehe bure utoto ndio ulimsumbua.
duh kama Polepole mtoto basi wengine hatujazaliwa bado. Jamaa keshazeeka mpaka sura inatoka magamba bado mnasema mtoto
 

Hata watu wanaodhanla wenzao watakavyo wao nao watapita. Underline that.
 
Naona imekuuma sana. Kama huna cha kujifunza hapo we endelea kushupaza shingo!
 
Naona imekuuma sana. Kama huna cha kujifunza hapo we endelea kushupaza shingo!
Watu wanajibizana kwa hoja wewe unaleta taarabu. Ulitakiwa uwe kwenye jukwaa la jamii na mahusiano.
 
Ilikuwepo NCCR, ikaja CUF, ikaja CHADEMA vyote vimepita na maisha yanaendelea ata CCM kunasiku itapita hakuna kitakacho dumu chini ya jua isipokua maneno ya Muumbaji katika vitabu vyake.
 
Let them go, and was too late. Why not if their Master is no More..
 
Kama akili yako umewakabidhi jujumen ni ngumu dana kujua dunia ni mapito.Waganga ukupa matumaini hewa.
 
Ubabe wa Bashiru na Makonda ulitegemea sana uwepo wa mwendazake.
Walimtegemea kiumbe mwenzao.
Polepole tumsamehe bure utoto ndio ulimsumbua.

Polepole, utoto kwenye nini?
 
Kuna la kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…