Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni

Najua wako wengi,,,sina Napo kwama,,,wewe Nenda Kwa hao wengine wengi,, Mimi nitulie na huyo unayefikiria kumpiga chini,,,Mimi ni mfariji wa wenye huzuni sihitaji huyo kiumbe abaki upweke,huzuni na simanzi pia
Wanasema usikae karibu na nyati aliyejeruhiwa
 
We acha tu, ila kwenye shoo anajituma sana
Hicho ndiyo wanaume kinatuchanganyaga mazee!

Mimi wa hivyo huwa simuachi, ila huuficha upendo wangu wa dhahiri kwake, kuogopa kugeuzwa ndondocha!

Sasa fanya hivii, mbembeleze mrudiane yaishe, ila sasa usije kurudia kumtoa kwenda naye kulewa.

Halafu nyie vipi ugomvi kidogo tu basi kila mtu anawaza kuachana!
Emb rudisha kifaa chako hiko cha maana ndani.

Na hakikisha akijifungua, usimpumzishe kuzaa, mfanye kiwanda cha watoto akili zake zikae sawa ili asiwaze waze kusepa.

Yeye si amegundua unamzimikia, saazingine kwa kukiri nwenyewe huku ukilia ili kupata afueni ya kuufikia mlima K'njaro, hapo ndiyo huwaga tunadhalilika sana mabro.

Atakusumbua huyo usipokaza msuli wa kitandani😄😄😜.
 
Tulikubaliana kabla ya kuoa uwe unamzidi mwanamke kila kitu why akupige nawewe unapigika??


Any way umepoteza sifa ya kua mwanaume mpaka mkeo kakupendekezea maamuzi ya kufanya nawewe bado unakuja jf kuomba ushauri?
 
Daaa 😅😅pole sana
 
Kweli mkuu, nikimuacha nitaumia sana, natafuta nguvu hapa niurudishe uhusiano kwa spidi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…