Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni

Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni

Kwamba wewe umemfinya mkononi,yeye kakutwanga kichwani na kiatu.
Huyo sio mke ni malaya kama malaya wa buguruni.
Nimefikiria sana, lengo lake kuu lilikuwa nini; ila kutokana na mazingira ya unywaji nikasamehe tu, kwa kuwa ni magonjwa ya akili yasababishwao na pombe.
 
Yaani mwanamke Yuko mimba halafu anakunywa pombe? Wewe na mkeo wajinga sana mkuu!
 
4D061CCA-F2F2-4B1C-8E92-68DD8B80C0D9.jpeg
 
Back
Top Bottom