Kweli jiji la Dar es salaam leo linahitaji kiongozi aina ya Chalamila? Majukumu ya mkuu wa mkoa ni mepesi hivyo?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.

Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .

Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.

Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
 
Tutajie mkuu wa mkoa serious
Au unamtaka Mwanri A
 
katika nchi hakuna watu ambao hawako serious kama wanaume wa dar, sasa mnataka kiongozi awe serious ili iweje , halafu ukuu wa mkoa ni ofisi sio mtu mzee, mkuu wa mkoa ni msimazi tu so unamini chalamila hawezi simamia wati wa chini yake,ukitoa utani chalAmila yupo smart sana
 
Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.

Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .

Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.

Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Kwa uwezo wa akili ya Darasani hata exposure huwezi mfikia CHALAMILA. Elimu yake ni Kubwa na amekuzidi uelewa sana tu.

Utani na utashi wa Mtu, kwahiyo ulitaka aletwe mwehu kutoka TARIME ili uone kuwa anaweza kuimudu kazi?
 
Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.

Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .

Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.

Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Huyo ndio anawafaa na jiji lenu la mashoga..
 
Ndo hivyo bana viongozi wote ni hoi hai, sifa nyingi afu maneno polimilai...
 
Back
Top Bottom