Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Mzee umeyakanyagaa!! Ngoja walinda legacy waje 🤣🤣🤣Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.
Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .
Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.
Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?