Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana kwakweli...Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Si kweli...Watu mnaropoka tu na mihemuko yenu. Chalamila ni kiongozi smart sana kuliko takataka nyingi katika hiyo nafasi
Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.
Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .
Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.
Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
nyinyi watu wa dsm mnataka viongozi wa namna gani.kila mnayeletewa kuwa hayuko serious nani sasa ambaye yuko serious?chalamila hayuko serious au watu wa dar mnapenda kubebwa kubebwa,kulia lia,fuateni sheria na hakuna nchi ambayo watu wake hawatozwi kodi.toeni ushirikiano kwa mamlaka acheni ujanja ujanja.kama ni kodi mbona hata huku mikoani tunatozwa lkn hatulii kama nyie?acheni kukwepa kodi lepeni kwa maendeleo ya taifa.Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.
Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .
Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.
Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
tupe mfano mmoja au miwiliTunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Ukiangalia teuzi nyingi za Mama utaona kuwa watu wake wengi anaowateua ni dizaini ya Masanja Mkandamizaji au Steve Nyerere, watu wasioeleweka. Yaani kwao kila kitu wanadhania ni comedy tu, hawa ndiyo watu awapendao mama ili awatawale kiurahisi.
Yani Afadhali mara 1000 huyo chalamila jiji la DSM linataka amsha amsha na kuwapa watu afueni ya matatizo yao ata kwa kuwadanganya . Sasa uyo Amos si mzee yule unaweza kukutana naea ata kidimbwi kweli? Ndio maaana alikua ana kauli za jazba na hasira kwasababu hajawaia kuona hata ugomvi bar . Nanukuu kamfateni waziri dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Umemsahau comedian Makamba, umemsahau Mary Chipungahelo na umemsahau mtoto wa mjini anayejua kula chapati.Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.
Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .
Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.
Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Hatutaki watu serious, Makala anayo mpaka CPA kafanya kipi cha maana, kama kashindwa hata kujua ukiingiza truck Dar zaidi ya 2MT unalipia, na malipo yanaongeza transaction cost. Ili tuweze kushindana na majiji na wengine lazima gharama za kufanya biashara DSM ziwe rahisi, urasimu na usumbufu wowote hautakiwi zaidi rushwa ni adui wa haki.Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.
Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .
Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.
Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Heri Chalamila kuliko Makalla anayewaambia wafanyabiashara wa Kariakoo kumfuata Waziri Mkuu ili kutatua matatizo yao. Pongezi nyingi kwa wafanyabiashara kukataa kwenda dodoma eti kumfuata Waziri Mkuu na hongera kwa Waziri Mkuu kuja dar kuwasikiliza wafanyabiashara.Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.