Kweli jiji la Dar es salaam leo linahitaji kiongozi aina ya Chalamila? Majukumu ya mkuu wa mkoa ni mepesi hivyo?

Waswahili kwa kulalamika.Nani anafaa? Nenda wewe sasa.
 
Watu mnaropoka tu na mihemuko yenu. Chalamila ni kiongozi smart sana kuliko takataka nyingi katika hiyo nafasi
 
Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.

Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .

Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.

Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
 
Yani Afadhali mara 1000 huyo chalamila jiji la DSM linataka amsha amsha na kuwapa watu afueni ya matatizo yao ata kwa kuwadanganya . Sasa uyo Amos si mzee yule unaweza kukutana naea ata kidimbwi kweli? Ndio maaana alikua ana kauli za jazba na hasira kwasababu hajawaia kuona hata ugomvi bar . Nanukuu kamfateni waziri dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]
 
nyinyi watu wa dsm mnataka viongozi wa namna gani.kila mnayeletewa kuwa hayuko serious nani sasa ambaye yuko serious?chalamila hayuko serious au watu wa dar mnapenda kubebwa kubebwa,kulia lia,fuateni sheria na hakuna nchi ambayo watu wake hawatozwi kodi.toeni ushirikiano kwa mamlaka acheni ujanja ujanja.kama ni kodi mbona hata huku mikoani tunatozwa lkn hatulii kama nyie?acheni kukwepa kodi lepeni kwa maendeleo ya taifa.
 
Kwahiyo kuongoza dar inahitaji jitu la milaba minne? Ila elimu ya kata imeharibu sana uwezo wa watu kufikiri.
 
Wavamizi wa maeneo ya watu wamefurahi sana kuhamishwa kwa Amos Makala.

Makala amefanya kazi nzuri DSM.

Makala ni mpenda ukweli na haki. Si mnafiki.

Wavamizi wame furahia kuja Kwa Chalamila DSM.
 
Ngoja tuone kama ataweza kuwadhibiti biashara holela za wamachinga.

Hicho ni kipimo kidogo cha utendaji ambacho wengi hushindwa.

Makala ame jitahidi sana.
 
Ukiangalia teuzi nyingi za Mama utaona kuwa watu wake wengi anaowateua ni dizaini ya Masanja Mkandamizaji au Steve Nyerere, watu wasioeleweka. Yaani kwao kila kitu wanadhania ni comedy tu, hawa ndiyo watu awapendao mama ili awatawale kiurahisi.

Yaani mimi hata sijui wanafikiriaga nini hadi kuwapa uongozi na majukumu mazito watu wa hivyo.
 
Yani Afadhali mara 1000 huyo chalamila jiji la DSM linataka amsha amsha na kuwapa watu afueni ya matatizo yao ata kwa kuwadanganya . Sasa uyo Amos si mzee yule unaweza kukutana naea ata kidimbwi kweli? Ndio maaana alikua ana kauli za jazba na hasira kwasababu hajawaia kuona hata ugomvi bar . Nanukuu kamfateni waziri dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenda kidimbwi kwa kiongozi ni sawa tu sababu anakuwa yuko kazini bila wewe kujua.

Huwezi kuwa kiongozi unajifungia ndani. Utajuaje yanayofanyika nje?
 
Chalamila mnamchukulia poa huku kwetu kagera tupo mpakani amethibiti magendo na nchi za jirani
Akifika dar hapo rahisi tu hiyo bandari na wizi wa pale bye bye
Dar mnajiona Ni Jambo kubwa kuongeza
 
Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.

Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .

Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.

Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Umemsahau comedian Makamba, umemsahau Mary Chipungahelo na umemsahau mtoto wa mjini anayejua kula chapati.
Hao wote walikua wakuu wa hapa kwa nyakati tofauti lakini jiji halikuyumba.
 
Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.

Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .

Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.

Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Hatutaki watu serious, Makala anayo mpaka CPA kafanya kipi cha maana, kama kashindwa hata kujua ukiingiza truck Dar zaidi ya 2MT unalipia, na malipo yanaongeza transaction cost. Ili tuweze kushindana na majiji na wengine lazima gharama za kufanya biashara DSM ziwe rahisi, urasimu na usumbufu wowote hautakiwi zaidi rushwa ni adui wa haki.

Hawa mnaowaona commedy at least wan asikia na kusikiliza malalamiko ya watu. DSM shida kubwa ni ubwanyenye wa wenye madaraka na mamlaka, ambao watumishi wa serikali wanataka ukubwa wasio nao na hii ni kinyume na tamaduni za biashara. Watu wenu serious hawana manufaa yeyote kwa watu wa kawaida bakini nao huko huko.

Dar inataka watu wa kawaida, wenye kusikiliza na kuthamini wafanyabishara na biashara.
 
Je Amosi Makalla kwa jiji la Mwanza ataweza. Hii mikoa ni migumu sana, asipoangalia huo ndio mwisho wake, mkoa wa Mwanza na dar hali moja,kuna mfupa wa jengo la uwanja wa ndege na miradi ya kimkakati ina impact kwa Rais kisiasa aangalie sana. Adam alijitahidi kupambana sana Mwanza ingawa naye hili la jengo la uwanja ndage lilimpa changamoto kubwa. Makala awe vibrant. Amekuwa Mbeya, Dsm na sasa Mwanza abadilike aende na vionjo vya kiutawala halisi(pragmatic)
 
Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.

Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .

Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.

Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Heri Chalamila kuliko Makalla anayewaambia wafanyabiashara wa Kariakoo kumfuata Waziri Mkuu ili kutatua matatizo yao. Pongezi nyingi kwa wafanyabiashara kukataa kwenda dodoma eti kumfuata Waziri Mkuu na hongera kwa Waziri Mkuu kuja dar kuwasikiliza wafanyabiashara.
Nchi hii inahitaji kuzingatia sera za ugatuzi wa madaraka mikoani kama ilivyoanzishwa na Rais Nyerere miaka ya 70 - "madaraka mikoani". Mfumo wa kulundika madaraka na maamuzi kwenye mji mkuu umepitwa na wakati kitambo. Ni bahati mbaya bado tuna viongozi kama Makala wanaoamini kwamba changamoto za jiji la wakazi zaidi ya 4milion zitatuliwe na kiongozi huko dodoma. Really?
 
Back
Top Bottom