Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tutajie mkuu wa mkoa seriousWatu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.
Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .
Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.
Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Kwa uwezo wa akili ya Darasani hata exposure huwezi mfikia CHALAMILA. Elimu yake ni Kubwa na amekuzidi uelewa sana tu.Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.
Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .
Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.
Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
Huyo ndio anawafaa na jiji lenu la mashoga..Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.
Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana .
Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.
Tunao watu serious kwanini tuendelee kufanya comedy?
[emoji28][emoji28] sana yani lohMsoga gang watanuna, walimchongea kwenye Mkutano Mkuu wa CCM!