Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Umesahau mbwebwe za tablet per child za Uhuruto? Jamaa kafariki lakini kaacha rekodi ya kuanzisha ujenzi wa 3 lots za electrical SGR within 5 years and 5 months whereas jamaa wako miaka 9 2 lots of SGR Kenya!aliingia madarakani kwa mbwembwe na kuanza kupigana na rushwa,,, hapo namuunga mkono. sifa zilimuingia kichwani akawa hajielewi na akageuka kituko cha dunia mpaka hatma yake.
haya ni maoni yako >>>
Even clever dies..where is Isaac newton??..garileo?gadaffi,Mandela..the thing you don't know that death is natural for alldogo,, unajua kifo cha huyu mwamba kimeshtua wengi sana. historia imejirudia tena kwa mara ya pili. toka Kinjekitile Ngwale season 1, wengi wetu tulikuwa bado hatujazaliwa. saa hizi tuko season 2.
Kenyans and the whole world at large have a reason to learn How Not To Be Stupid.
Wote sisi ni Ndugu mchawi ni mkoloni tu..Karibia TV zote za Kenya zipo live zinaonyesha tukio la kuaga mwili wa marehemu uwanja wa Taifa.
Uyo huwaga ni fara mmoja tu wa kumpuuza, kanajikutaga kana ukombozi wa fikra kushinda wa Tz woteYaani umepatia kumkosoa kuwa maoni ya gazeti hayawezi kuwa ni ya Wakenya wote, kisha ukaenda hatua moja nyuma na kufanya kosa lilelile ulilolikosoa kwamba Watanzania wote ni paranoia na schizophrenic.
Are you dumb in any other area?
Inawezekana, lakini ukweli wa kwamba hawapati taarifa sahihi kwa wakati sahihi ndio sababu kuu ya wewe kudhani ni WANAFIKI.Watanzania 95% ni unafiki