Kweli Kenya ni ndugu zetu

Kweli Kenya ni ndugu zetu

aliingia madarakani kwa mbwembwe na kuanza kupigana na rushwa,,, hapo namuunga mkono. sifa zilimuingia kichwani akawa hajielewi na akageuka kituko cha dunia mpaka hatma yake.

haya ni maoni yako >>>
Umesahau mbwebwe za tablet per child za Uhuruto? Jamaa kafariki lakini kaacha rekodi ya kuanzisha ujenzi wa 3 lots za electrical SGR within 5 years and 5 months whereas jamaa wako miaka 9 2 lots of SGR Kenya!
 
dogo,, unajua kifo cha huyu mwamba kimeshtua wengi sana. historia imejirudia tena kwa mara ya pili. toka Kinjekitile Ngwale season 1, wengi wetu tulikuwa bado hatujazaliwa. saa hizi tuko season 2.
Kenyans and the whole world at large have a reason to learn How Not To Be Stupid.
Even clever dies..where is Isaac newton??..garileo?gadaffi,Mandela..the thing you don't know that death is natural for all
 
Yaani umepatia kumkosoa kuwa maoni ya gazeti hayawezi kuwa ni ya Wakenya wote, kisha ukaenda hatua moja nyuma na kufanya kosa lilelile ulilolikosoa kwamba Watanzania wote ni paranoia na schizophrenic.

Are you dumb in any other area?
Uyo huwaga ni fara mmoja tu wa kumpuuza, kanajikutaga kana ukombozi wa fikra kushinda wa Tz wote
 
Ndugu zako mwenyewe usitujumuishe wote, binafsi sitasahau walivyokuwa wanamuombea Magufuli kifo kama vile wana ishu naye personal.
 
Watanzania 95% ni unafiki
Inawezekana, lakini ukweli wa kwamba hawapati taarifa sahihi kwa wakati sahihi ndio sababu kuu ya wewe kudhani ni WANAFIKI.

Hakuna unafiki wala kuigiza kwenye yanayoendelea sasa, wanaabika wanaodhani sisi ni wanafiki na hatukumuelewa kiongozi wetu.

Msiba huu umetukumbusha misiba mikubwa ya kitaifa, SOKOINE, RUGAMBWA, JULIUS, MV BUKOBA, TRENI, AJALI YA NUNGWI, MOTO WA MBEYA NA MORO, MKAPA

Kubwa nitakaloweza kumkumbuka nalo ni uwezo wake wa ku-compress muda na integration aliyoifanya kwenye muda huo.
 
Jirani ni zaidi ya Ndugu hata kukiwa na chokochoko zinaisha na maisha yanaendelea. Kenya wakipigana sehemu ya kwanza kukimbilia ni Bongo sio Ethiopia au uganda au Somalia rejea Jk na mkapa walivyoshiriki masuluhisho mgogoro wa Kenya.

Wapo wakenya na nchi nyingine afrika walimkubali Jpm kwa ile style ya kupiga vita rushwa ambalo ni tatizo kubwa kenya na afrika

Mtaani tofauti na mitandaoni wabongo na wakenya wapo Vizuri kimahusiano

Kama kuna nchi naichukia duniani ya kwanza ni China kwa ku export corona
 
Back
Top Bottom