Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Umesahau mbwebwe za tablet per child za Uhuruto? Jamaa kafariki lakini kaacha rekodi ya kuanzisha ujenzi wa 3 lots za electrical SGR within 5 years and 5 months whereas jamaa wako miaka 9 2 lots of SGR Kenya!aliingia madarakani kwa mbwembwe na kuanza kupigana na rushwa,,, hapo namuunga mkono. sifa zilimuingia kichwani akawa hajielewi na akageuka kituko cha dunia mpaka hatma yake.
haya ni maoni yako >>>