Jackson amoss
Member
- Nov 8, 2023
- 10
- 58
Sijakuelewa mkuuKAZI ni kipimo Cha utu
Nimevumiliaaa naona yatanishinda sasaPole sana mkuu,amini kuwa,yatapita tu.
Usichokijua ni kwamba Kuna wenzako Wana degree mpaka 3 na bado maisha yanawapiga na hapo hapo wapo kama ww mtaani na wanaishi fresh tu usikariri kutoboa maisha sio lazima uwe umesoma tu.Nilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nilia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu...
Form four umefail na unatumia jamiiforum mkuu,wewe ni nomaNilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nilia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu...
Sasa ngoja ukijaaliwa kufikia 70 utayaona mengi zaidiNilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nilia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu...
Kalime mihogo na na ndizi utatoka.Nilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nilia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu....
Kiwanda cha chuma show zao sio za kitoto mkuuHomeboy! Homeboy! Sijui hupo mkoa gani kama hupo dar es salaam nataka nikuelekeze uwende ukafanye kazi hapo unaenda na barua yako ya serikali ya mtaa unaoishi
kama unapajua sehemu mmoja pakuitwa vingungut kwenye kiwanda cha Pepsi ukifika hapo getin utaona watu wanasotea kazi waulize eti hapa kiwanda cha chuma kipo wapi watakuonesha ukifika hapo
kiwandani ulizia neno SHANANGA HARD WARE ni wapi watakuonesha ni geti lile pale ukifika muone mlinzi muelezee shida zako atakupa muongozo na siku hiyo hiyo unapata kazi hapo kwa siku 15 hadi 20 au zaidi ni wewe juhud yako machaka yapo mengi hayo mengine kipato kidogo utateseka ukishaingia humo utapata information nyingi tu