Kweli kua uyaone! Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipokosea ila siwezi

Kweli kua uyaone! Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipokosea ila siwezi

Homeboy! Homeboy! Sijui hupo mkoa gani kama hupo mbeya hasa hasa Mbeya mjini nataka nikuelekeze uwende ukafanye kazi hapo unaenda na barua yako ya serikali ya mtaa unaoishi na copy ya kitambulisho cha mpiga kula au NiDa as usually

Kama unapajua sehemu mmoja pakuitwa kilimo pale Uyole kwenye kiwanda cha mikeka cha mchina ukifika hapo getini utaona watu wanasotea kazi. Waulize "vipi naweza kuongea na Jak au Dani na mimi nikaanza kazi ""

Au muone mfanyakazi yeyote muelezee shida zako atakupa muongozo na siku hiyo hiyo unapata kazi hapo kwa week ni 45k hadi 50k
 
Homeboy! Homeboy! Sijui kama takua nakusumbua ila kama utakua Dodoma hasa hasa Dodoma mjini nataka nikuelekeze uwende ukafanye kazi hapo unaenda na barua yako ya serikali ya mtaa unaoishi na copy ya kitambulisho cha mpiga kula au NiDa as usually

Kama unapajua sehemu mmoja pakuitwa four way.. pale kuna msururu wa viwanda ila weww achana navyo nenda moja kwa moja kwa kwenye godown moja hivi la hardware ukifika hapo getini ulizia dogo J. Ukimpata huyo tayari ushapata kazi. Vijana wa huku wengi ni wavivu. Hawapendi kazi wao ni kuka na kushinda vijiweni
week ni 120k kila jmosi una saini mshiko

ila ni heavy work japo inategemea siku na siku.. ni kubeba mazaga tuu ya hardware na mda mwingine mnazunguka town
 
Nilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nililia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu.

Maisha yananichapa vibaya sana kulala njaa kwangu imekuwa jambo la kawaida. Inafika hatua naeanda kwenye mihangaiko wiki nzima siambulii chochote daah 😠.

Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipo kosea ila siwezi. Inafika hatua natamani nisingezaliwa sio kwa msoto huu. Usingizi hata hauji mawazo masaa 24 kichwa kinawaza tuu.
Bro sisi wa darasa la saba ambao tunapambana unatushauri nini
 
Nilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nililia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu.

Maisha yananichapa vibaya sana kulala njaa kwangu imekuwa jambo la kawaida. Inafika hatua naeanda kwenye mihangaiko wiki nzima siambulii chochote daah 😠.

Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipo kosea ila siwezi. Inafika hatua natamani nisingezaliwa sio kwa msoto huu. Usingizi hata hauji mawazo masaa 24 kichwa kinawaza tuu.
Wengine pia tumefeli hiyo form 4 ila tuliangalia tumefeli wapi tukapambana,mdogo wangu maisha ni kupambana sana kama unaona pande ulipo pagumu,unatakiwa kwenda pengone kupambana using'ang'anie sehemu moja usiyo na faida nawe.
Piga hatua toka ulipo siku moja utakuwa hero from zero
 
Cheza mchezo wa total football mkuu..

Kama muda hauruhusu usicheze kwa formation..

Shambulia kwa pamoja na zuia kwa pamoja..
Hiyo ndy Siri ya ushindi ukiona dakika zinayoyoma na maisha hayaendi.

Maisha hayana formula..

Tumia akili kubwa kuliko nguvu..
 
Nilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nililia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu.

Maisha yananichapa vibaya sana kulala njaa kwangu imekuwa jambo la kawaida. Inafika hatua naeanda kwenye mihangaiko wiki nzima siambulii chochote daah 😠.

Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipo kosea ila siwezi. Inafika hatua natamani nisingezaliwa sio kwa msoto huu. Usingizi hata hauji mawazo masaa 24 kichwa kinawaza tuu.
Pole

Omba Mungu akuonyeshe kianzio!
Halafu jichanganye hata kwa mama ntilie uombe kazi ya ku hudumia pale huku ukijifunza kumiliki hotel kubwa siku moja!!

Mafanikio huanzia at the small beginnings na sio ghafla mkuu!

Anzia hapo upate uhakika wa kula kwanza!!
 
Cha muhimu kaa mbali na wanawake then Hakikisha unapata mtu wa kiroho kisaikolojia atakujenga Sana

Kupitia Mwandiko wako nimegundua hela zako ndogo na kubwa umewapa Sana wanawake na wao wamekupa stress na kuwa na dark sight

Kufeli shule hicho sio kikwazo Cha wewe kushindwa kutoboa Maisha
 
Kujutia makosa uliyoyapotia ni sawa lakini yasikukatishe tamaa, yachukulie kama chachu ya mapambano yako.. hapa Duniani wote tunaishi average miaka 65 tukiwa productive, kama bado una maika kadhaa mbele kuifikia hiyo 65 basi PAMBANA.
 
Nilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nililia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu.

Kila mahali ulipo unaweza kujikwamua na kwenda sehemu nzuri zaidi...

Na ungefanikiwa kupata ufaulu mzuri, then ukaja kupewa kitengo baadaye si ajabu ungekuwa mpigaji kama hawa wapigaji wengine walio na nafasi maofisini...
 
Back
Top Bottom