Kweli kua uyaone! Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipokosea ila siwezi

Pole Sana ndugu yangu, hayo yote ni kwa sababu Tunaamini kwa ubongo wako unaweza kutakua matatizo. Nakushauri acha kutegemea akili zako. Mwambie Mungu shida zako, pasipo shaka uone maajabu.
 
Hiyo 4 unayo idharau mkuu tupo tunaoitamani amini nakwambia
Hata kama una d mbili Kuna watu unawatamani lakini ukweli ni kwamba wametumia hiyo hiyo DIV 4

Sema ngoja nikae tu kimya m mwenzio hata mtihani sijafanya Ila nimefunga unga mpaka sahiv nakula na kuishi kwa cheti Cha la saba

Usilalamike huna viatu wengine hawana hata miguu mkuu
 
Unashinda njaa ila una smartphone na bando la kuingia jf, tatizo lako sio kukosa pesa ,tatzo langu ni maamuzi yako na vipaumbele vyako mkuu.
 
Majuto ni mjukuu...

Nenda karudie tena mtihani kama 'private candidate'.
 
Kama ni shida usione yako ni kubwa , wengine tungeadisia yanyuma utagundua yako sio shida.
Kama una afya,miguu miwili na mzima ushatusua, chakata akili toka nje ,Mungu mbele mbona utapata tu .
Hyo shida usilie lie ndo uanaume huo , Kesho sio kama leo , jitume tu.
 
Usije unkaingiza ROHO ya kujiuwa mkuu.

Taifa bado linakutegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ