Mababu wa zamani wana akili kuliko wazazi wa kisasa.
Elimu sio urithi. Mtoto mpe mali afanye maisha yake
Baba yako alizaliwa na Mali?
Hahaaaaaa kilichobaki ni kuwa criminals aka wajasiriauhalifuKweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+
Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...
Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.
Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Na hivyo wataanza kulipwa mshahara wala usiwe na wasiHahaaaaaa kilichobaki ni kuwa criminals aka wajasiriauhalifu
Umejuaje kuwa waliomba 7600?Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+
Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...
Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.
Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Watoto wa kuwapa mali ndio hawa wanashinda wakiwaza mapenzi.?Mababu wa zamani wana akili kuliko wazazi wa kisasa.
Elimu sio urithi. Mtoto mpe mali afanye maisha yake
Labda huwa huna sera za kumshawishi kukujibu.Hajibugi dm huyo