Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

na bado kuna safari ya kwenda dodoma hapo
Unaweza kukuta watu wa Utumishi wamewekeza kwenye Lodge huko na wanaita watu wengi ili wapate wateja.

Yaani nafasi 2 unaita watu 900+ si ni upotezeaji wa muda wazi wazi na kunyonya kilicho kidogo.

Bora wangeita watu 50 waliobora kulingana na CV zao na kuacha mamia ya wengine bila kuwapotezea akiba dogo waliyonayo.
 
Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+

Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...

Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.

Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Tatizo ni mfumo wa elimu yetu una anda minds za wanafunzi kua ajiliwa tu, sio kutegeneza ajira " our education system produce job seekers not job creaters"
 
Mababu wa zamani wana akili kuliko wazazi wa kisasa.

Elimu sio urithi. Mtoto mpe mali afanye maisha yake
Mali bila elimu utaiendesha kwa ufanisi? Elimu bado itaendelea kuwa muhimu kwa nyakati zote. Kikubwa tunatakiwa kwenda na yote mawili sambamba; elimu ya darasani na akirudi nyumbani (likizo) anajiingage kwenye ujasiriamali practically. Hapa kwenye ujasiriamali, mzazi amuhusishe moja kwa moja kijana wake kwenye miradi yake, hata ikibidi kumuachia majukumu makubwa afanye, akikosea mkaripie, hapo ataiva na akimaliza chuo, unamkabidhi baadhi ya responsibilities.
 
Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+

Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...

Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.

Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Wewe kwa akili zako mbovu hizo unaambini hao waombaji 7,600 hawana ajira? Then utakuwa hutumii ubongo wako vizuri, hao waote ajira wanazo, wanachotafuta ni ‘greener pasture’ , jaribu kuelewa hii concept kwanza.
 
Wakuu waone shida ya ajira ilivyo.Tena hao wengi ni vijana na usikute wengi wao wanaufaulu mzuri na wanauwezo.Kwa hali hii mtu anastaafu kesho anateuliwa pengine vijana tunatunza vyeti ndani inaumiza.
Kwa habari ya kustaafu na kuteuliwa pengine, hilo ni kawaida, kwani wanahitajika wenye experience kuwa wenyeviti wa bodi mbalimbali, ili wakatumie uzoefu wao kukuza sector fulani. Ila kuna nafasi zingine hata fresh graduates wanamudu, hizo ndio tunazoongelea.
 
Wewe kwa akili zako mbovu hizo unaambini hao waombaji 7,600 hawana ajira? Then utakuwa hutumii ubongo wako vizuri, hao waote ajira wanazo, wanachotafuta ni ‘greener pasture’ , jaribu kuelewa hii concept kwanza.
Tusibishane ,tatizo la ajira lipo
 
Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+

Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...

Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.

Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Mlaumuni Jiwe ndio aliharibu hii Nchi..

Harafu sektetatieti ya Mkoa wametakiwa kuandaa usaili mikoani waache ujinga wa kuitana Dodoma.
 
Unaweza kukuta watu wa Utumishi wamewekeza kwenye Lodge huko na wanaita watu wengi ili wapate wateja.

Yaani nafasi 2 unaita watu 900+ si ni upotezeaji wa muda wazi wazi na kunyonya kilicho kidogo.

Bora wangeita watu 50 waliobora kulingana na CV zao na kuacha mamia ya wengine bila kuwapotezea akiba dogo waliyonayo.
Duuh nimeangalia walioitwa kwenye hii nafasi kumbe jumla wapo 1805
 
Itakuwa hivi
Screenshot_20220710_101040_com.android.chrome.jpg
 
Siku zijazo watu wengi sana wataumia sana.. Mtu atasotea miaka anasoma kwa lengo la kupata ajira baadae na hatokaa aipate mpaka anarudi kwenye udongo

Suluhisho: Kila mmoja achukue hatua kwaajili ya maisha yake asingojee Hisani za watu (ajira)
 
Wewe kwa akili zako mbovu hizo unaambini hao waombaji 7,600 hawana ajira? Then utakuwa hutumii ubongo wako vizuri, hao waote ajira wanazo, wanachotafuta ni ‘greener pasture’ , jaribu kuelewa hii concept kwanza.
Yaani mkuu uwe na ajira uache kibarua chako ukaombe kazi ya mda wa miezi 12 kisa better promising opportunity yaan unafanya kubet hapo
 
Back
Top Bottom