Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Unaweza kukuta watu wa Utumishi wamewekeza kwenye Lodge huko na wanaita watu wengi ili wapate wateja.na bado kuna safari ya kwenda dodoma hapo
Yaani nafasi 2 unaita watu 900+ si ni upotezeaji wa muda wazi wazi na kunyonya kilicho kidogo.
Bora wangeita watu 50 waliobora kulingana na CV zao na kuacha mamia ya wengine bila kuwapotezea akiba dogo waliyonayo.