Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

Tatizo ni mfumo wa elimu yetu una anda minds za wanafunzi kua ajiliwa tu, sio kutegeneza ajira " our education system produce job seekers not job creaters"
Acha ndoto za alinacha Mkuu sio rahisi watu kutengeneza ajira wenyewe kama unavyofikiria,ajira either ni katika Private,public au kwa MTU mmoja mmoja zinaanza kutengenezwa na Serikali.wewe unafhani nani hataki kumiliki kiwanda? Obviously kila mmoja anataka unadhani ni kwa nini haiwezekani??
 
Hawa watu wameshadharau watanzania kwa sababu ni wapole mno. Hii ni kejeli na dharau kubwa. Kwa nini wasifanye mchujo na kuita wachache. Opsss! Nimeshaelewa: Hapa wanatengeza mazingira ya kuweka watu wao yawe rahisi na bila kuhisiwa. Watakuja kujitetea ''ona tulifanya kazi kubwa ya kuchuja na tuliwapa fursa watu wengi kadiri ilivyowezekana. Ushindani ulikuwa mkubwa sanana hawa waliochaguliwa walishinda kihalali kabisa''. Kumbe wenzako pengine walishapewa mtihani kitambo.
 
Watoto wapo vile unavyoawaandaa. Watoto ni matokeo ya wazazi walivyo
 
Ni muhimu kuangalia fani ambazo popote mtu unafit, iwe ajira rasmi au zisizo rasmi. Sio sawa kumpeleka mtoto chuo just kwa vile tu ni chuo cha elimu ya juu.

Vocational training institutes ziwe nyingi zaidi na wawepo qualified trainers, mtu anakuwa na uwezo wa kuajirika na kujiajiri.

Banks ziboreshe namna bora za kutoa mikopo kwa graduates wa vyuo vya kati waliosomea Vocational training ili vijana waweze kujiajiri kwa kufungua makampuni na engineering firms.

Serikali itoe tenda kwa vijana wa kitanzania ili kuwapa uwezo wa kusimamia na kutengeneza miundombinu ya nchi, kuna zile mega projects kama JNHPP ambazo kiukweli zinahitaji technology ya nje, lakini kuna uwezekano wa kutoa tenda za miradi ya kati na midogo kwa wazawa ili kuwapa uwezo.

Swala la ajira kwa sasa linasikitisha sana, na ukweli ni kuwa Serikali haiwezi kuajiri, ni kazi ya private sector, ambayo kwa sasa naamini kabisa inapumulia mirija.
 
Duh Motivational speakers mmeshaanza Mambo yenu tena.
Mjinga Swala la kazi ni tete na linaendelea kuwa tete, sababu ziko nyingi sana zikiwemo za mabadiliko ya Sayansi, Chukulia mfano walio kuwa wanasoma Mita za Tanesco kabla ya LUKU wako wapi wale?
 
Mjinga Swala la kazi ni tete na linaendelea kuwa tete, sababu ziko nyingi sana zikiwemo za mabadiliko ya Sayansi, Chukulia mfano walio kuwa wanasoma Mita za Tanesco kabla ya LUKU wako wapi wale?
Uko sawa kabisa binti mwasiti.
 
Tutabishana sana ila bila kuana teknolojia yetu, tutateseka Sana. Tunahitaji sana teknolojia ya chuma.
 
Green pasture ya ajira ya contract ya mwaka mmoja mmoja?toka hapo nje angalia juu na useme hakika mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu.
Kwa mtu anaetafuta pesa ya ziada ili kuboresha biashara yake ya kutengeneza keki hiyo ni a very green pasture
 
Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Mind set overhaul , a complete change of the way we think. Watoto wetu hawana budi kufunzwa jiajiri mapema sana !
 
Acha kabisa wazazi wa kibongo sio kabisa unaweza uka na ndugu wanapesa na wazaz wanazo ila ukimaliza chuo hawana mpango na ww
 
Icho kitu kuna mtu nilikuwa namwambia kitu icho zamani wazazi walikuwa wanawapenda sana watoto zao tofauti na sasa hivi mtoto usitegemee mali za mzee kila mtu anajitafutia mali zake, wakati zamani au kijijini mzee anakupa mashamba na mifugo, wazee wa mjini wanastaafu na wanapata mafao na utoambulia ata mtaji wa business ya maandazi😀😀
 
Imenikumbusha Brazil(forteleza)bank robbery.

Nipale vijana wasomi walipo iba fedha nyingi kutoka bank,walitumia elimu walio ipata hawakusubiri ajira.
Uwa natafakari izi bank bongo zilizokaribu na majengo mengine au makazi ya kuishi iko siku wahuni watachimba chini kwa chini nakutokea ndani ya bank
 
Wazazi wa sa hivi wala bata aache kula bata akupe wewe pesa[emoji3][emoji3]kila mtu atafute mali zake
Kuna Dada yangu alikuwa ana msomesha mdogo wetu wa mwisho yule dogo alipoaza kusikia Dada anatoa kauli zisizoleta matokeo mazuri akaamua kuzidisha ada kakalibia kumaliza Dada kamwambia ukimaliza chuo tusijuane sitak kuona simu yako Aya assume ndio we af auna muelelekeo na Dada ana kazi mzuri now anakazi ya kununua vipodozi vya bei kubwa tu inaniuma Sana na siwez msaidia kwa halii kijana wa leo atategemea Nini Zaid ya ajira
 
Hao 900 najitolea kuwap mahali pa kulala wawili wakiwa wanafukuzia hizo interview zao wawili tu ambao hawajitoshelezi maana gheto hapa tuko wawili aje na pesa ya kula tu pakulala papo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…