Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

Kwani mtaani kuna upungufu wa mafundi? Hizi cheap mind zitawamaliza..

The economy as a whole should be dealt with its complehensity..

Kila mtu akiwa fundi ujenzi,gereji,kushona then what?
Then what? They ll start their own workshops

Categories za ufundi zipo nyingi sana, everywhere kwny maisha utawahitaji hao...hata kwny ofisi kuna furnitures, system ya umeme (wiring), ujenzi n.k
 
Tunasoma fani za kawaida sana, ambazo hata mtu ambaye hakusomea, anaweza kuelekezwa siku mbili tu na akafanya kazi vizuri; wakati wewe umepoteza miaka 3, 4 kusoma hiyo fani.

Nashauri tusome fani ambazo ni 'technical'; mfano;- anayeweza kutengeneza video za katuni na hana kazi, anyooshe mkono juu.
 
Hamna mali ya kupewa. Mali ni aliyeitafuta. Mtoto apewe guidance na apambane mwenyewe.
No wonder wahindi na waarabu wataendelea kuwa matajiri(generational wealthy) na kuwatumikisha kwenye makampuni Yao kama cheap labour
 
Tunasoma fani za kawaida sana, ambazo hata mtu ambaye hakusomea, anaweza kuelekezwa siku mbili tu na akafanya kazi vizuri; wakati wewe umepoteza miaka 3, 4 kusoma hiyo fani.

Nashauri tusome fani ambazo ni 'technical'; mfano;- anayeweza kutengeneza video za katuni na hana kazi, anyooshe mkono juu.
Tatizo soko mkuu, soko lake bongo likoje ?? Mimi naona mwisho wa siku mtu asome kitu anachokipenda. Kuna miaka watu walikimbilia kusoma petroleum engineering baada ya mradi wa gesi mtwara lakini wengi tunaona ni walimu sasa wa masomo ya fizikia na hesabu
 
Uko sahihi, kwa mazingira ya ulimwengu wa sasa, unatakiwa usome kitu ambacho kitakupa plan A na B; bila kufanya hivyo, hakuna mtu atakaye kuhurumia zaidi ya nafsi yako.
 
Back
Top Bottom