Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Yaani hao hawafai kabisa, ni hatari mno.Tena wale ndiyo mbwa kabsa
Uji umekunywa lakini?Usiweweseke jomba..usidhani wazungu hawana akili au wajinga kiasi hicho...kwanza wamsikilize na kumuamini lisssu kama Nani..Lissu hana ushahidi wa lolote ni Mambo ya hisia tu.
Sasa Nani anayeweza fanyia kazi hisia.
Waangalizi wa ndani, wa kimataifa woote wale hawana akili, ripoti zao zoote in maana Ni utumbo tu..acheni kuweweseka..Lissu Hana lolote.
Huyu anaweza kuwa na PhD naye.It is Lissu against wananchi wazalendo...Sasa sijui hapo Nani atakuwa mshindi. Hakuna Cha wafilisti Wala mabeberu..Mungu ameshaibariki Tanzania zamani.tatizo la .Corona ni sura mojawapo ya uwepo wa Mungu Tanzania..Nani zaidi ya Mungu. Mungu ndio ameusimika utawala wa JPM..nenda kokote mpaka jehanam Kama utamshinda...msiwachukulie poa watanzania mkadhani Ni wajinga..endeleeni kupiga kelele wenzenu wapo uchumi wa kati wanendeea kupeta tu..
Maneno hayo anatakiwa aongeee mlibya ambaye ndie anapitia ile hali ila sio mimi na wewe mkuu tuliyeacha kuingia barabarani kwa sababu et sie tulitaka maandamano ya amani ila polisi wamezuia hivyo tukaona tutahatarisha amani.Bora wao wanapigana ili waheshimiane, na siku hizi chache watafanya uchaguzi nchini kwao. Ni wazi kuwa hawatakaa katika huu ukondoo tulionao sisi.
Hao Libya walitawaliwa kibabe zaidi ya miaka 30 bila ridhaa yao. Bila wazungu bado wangekuwa wanaumia.Maneno hayo anatakiwa aongeee mlibya ambaye ndie anapitia ile hali ila sio mimi na wewe mkuu tuliyeacha kuingia barabarani kwa sababu et sie tulitaka maandamano ya amani ila polisi wamezuia hivyo tukaona tutahatarisha amani.
KWA kujibu swali la je mko tiyari ,Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?
Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..
Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..
Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.
Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.
Kwann wazungu huweka vikwazo, moja Ni kuifanya serikali iwe unpopular Kwa wananchi ili waitoe madarakani! Je tujiulize Vikwazo walivyopewa Iran imechange serikali au chama? No.
Je Zimbabwe Vikwazo vilimuondoa Mugabe ? Au chama chake.. Na hizo kesi za ICC hamna chochote.. km wangeua mass murdering..hapo sawa.
Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.
Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.
Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.
Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.
Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani.
Baada ya Seif kupokonywa ushindi 2015; tulinyimwa trillion Zaidi ya 2 za umeme WA Rea..je unadhani madhara yalikuwa kwa Maalim Seif au Magu...no...Kwa Sisi tuliotaka umeme vijijini.
Ujumbe kwa Magu;
mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie.
Ujumbe kwa Lisu.
Lisu Kaka kumbuka yale maneno ya wahenga
Mchuma janga....hulia na wakwao
Chadema pelekeni wadada 19 wakatie Jamba Jamba kidogo. Maalim Seif kubali serikali ya mseto.
Tujulishe kama nawe mnufaika wa haramu.Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.

Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.

Mtoa mada hongera kwa Uzi mzuri sana wenye ujumbe mzuri ,,kuna baadhi ya majinga huwa yanadhani vikwazo vitamuathiri JPM au CCM peke ake bila kujua vikwazo ni Rungu kwa watanzania woteMnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.

Zimbabwe wamekaa kwenye vikwazo for how Long..sitaki msoto.. na watoto Wangu Kwa miaka 50
Mtoa mada hongera kwa Uzi mzuri sana wenye ujumbe mzuri ,,kuna baadhi ya majinga huwa yanadhani vikwazo vitamuathiri JPM au CCM peke ake bila kujua vikwazo ni Rungu kwa watanzania wote
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
OkWhether unataka ama hutaki, njia iliyochaguliwa kuipitia basi sharti uipitie tu..
Hata Zimbabwe watu kama wewe wapo, lakini hawana uwezo kuzuia yanayotokea mpaka watakapotambua kuwa, chanzo cha maumivu yao ni viongozi wao...!!