Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,976
- 2,176
Green Africa Airways, a startup airline based in Lagos, Nigeria, has just placed an order for up to 100 Boeing 737 MAX 8 aircraft. This includes 50 firm aircraft orders, as well as 50 options.barafu ushauri muruwa mm naona kuna kutafuta sifa kama nimenunua ndege nzuri instead ya kusimamisha shirika maana atakuja na airbus kutusifia na pia tutanunua hebu tuwe makini madam nia rais kaonyesha aache wataalam wafanye yao
Mkuu ulipotea sana tukajua wasiojulikana wamekubebaWakati tangazo la kwenda Canada kukarabati Bombardier zetu likishamiri,hebu tujikumbushe
Sure mkuumada yoyote inayohusu usafiri wa anga,nikimuona barafu basi najua najifunza kitu
Haya matumizi makubwa ya fedha sijui yamepangiwa bajeti na wizara gani na bunge letu tukufu, au mkulu anachepua mwenyewe toka hazina!? Nachelea kuona watoto wanakosa chanjo za degedegeu,polio,surua na pepopunda kutokana na budget deficit.
Hao sherehe zao za kuipokea siipatii picha kama sisi mapangaboi ni hivi?Green Africa Airways, a startup airline based in Lagos, Nigeria, has just placed an order for up to 100 Boeing 737 MAX 8 aircraft. This includes 50 firm aircraft orders, as well as 50 options.
The total deal carries a list price of $11.7 billion, which is the largest single aircraft order we’ve ever seen from Africa. That’s pretty remarkable, when you consider that this isn’t even an airline that’s flying yet.
Source: onemileatatime.com
Hawa wameagiza ndege 100 kwa mpigo na zote ni za aina moja, Boeing 737 MAX 8 na siyo kachumbari.
:
Sasa tunaweza kujadiliana tena mkuu?Watabiri wamerudi tena!!!
Awamu hii Ni mwendo wa kutabiri kushindwa tu!!!
Lkn mtoa mada umejaribu kujenga hoja lkn haijitoshelezi!!! Hizo sio sababu kweli Za kuifanya ATCL ikwame Na hata ilipo kwama hapo nyuma kabla ya JPM sio kwa sababu hizo!!
RwandaAir wanazo Dreamliner na bombardier, Hao Ethiopia Airline nao hadi Leo hii wanazo Na hawajakwama, sisi ndio tumeanza naamini Na sisi hatutakwama!!!
Mkuu barafu , kwanza asante kwa bandiko hili, sasa leo ndio nimekuelewa ulikiwa unasema nini!. Kumbe kuna vitu humu vilisemwa na vikapuuzwa, sasa leo ndio tunaona matokeo. Big up sana kwa hii.Wakati tunaendelea kumpongeza Rais JPM kwa juhudi zake za kufufua shirika la ndege Tanzania(ATCL) tujipe na muda wa kutafakari pia mambo mengine na "kuhoji" kwa nia njema ya kutuondoa hapa tulipo kwenda mbele.Kuhoji kwetu ichukuliwe kama changamoto ya kulihuisha shirika letu na si kuliangamiza.Isije ikawa kuna watu hawamshauri vizuri Mzee au wanataka kumuingiza kwenye historia ya walioshindwa kuirudisha ATCL angani kama miaka ya 1980.
Kuhama toka kwenye "bombadia" mpaka kwenye "Dreamliner" ambayo ni B787(New Generation) wakati tumeacha wala hatuna wataalamu wa B737,B738,B739,B767 na B777...tumeruka generation yote ya kati mpaka kurukia latest ya B787....
Ni mtazamo tu;hatuisimangi ATCL
HahahahahMkuu barak, kwanza asante kwa bandiko hili, sasa leo ndio nimekuelewa ulikiwa unasema nini!. Kumbe kuna vitu humu vilisemwa na vikapuuzwa, sasa leo ndio tunaona matokeo. Big up sana kwa hii.
P
AiseeeNaona wakati unasema...Tuzidi kuombeana uzima tu
Wacha unafiki na ushenzi...Wewe ndio mmoja wa viongozi wa Praise timu...Uliamua kuacha taaluma yako kwasababu ya njaa ya madaraka na kuvizia kuteuliwa.....Watu kama nyie ni wakudharauliwa mpaka mnaingia kaburi..Mkuu barafu , kwanza asante kwa bandiko hili, sasa leo ndio nimekuelewa ulikiwa unasema nini!. Kumbe kuna vitu humu vilisemwa na vikapuuzwa, sasa leo ndio tunaona matokeo. Big up sana kwa hii.
P