Kweli mjini hakuna cha bure kujisaidia 500

Kujisaidia ni starehe kama starehe zingine na kama unavyojua mnyaji ommytk starehe gharama,muda si mrefu wakiweka na tozo utajisaidia kwa buku
 
Kama wange achia watu wajisaidie bure unadhani kingetokea nini ? Huo uchafu unaosema ni sababu ya watumiaji wenyewe . Wengine wakishatoa mia tano, wanaamua kutokumwaga maji na kutokuchamba, ili amkomeshe muhudumu 😂😂😂
 
Hiyo ni siki moja tu imekuuma, kuna watu wanafanya kazi kwenye masoko kama mahakama ya ndizi mabibo... Kukojoa 200 *3 kwa siku = 600
Haja K 200 = 200
Kuuoga =300
Jumla 1,100
Kwa mwezi 33,000/= kodi ya chumba kwa kopa mwananyamala,
Sasa siku za baridi unaweza ukaomba kuunga bando la choo kabisa.
 
Ha ha haaaaaha aaa mjini bhana wengine walituambia tusije mjini mpk tuwe tumeoga...walijua tu tutalalamika mambo km haya
 
Hiyo ni siki moja tu imekuuma, kuna watu wanafanya kazi kwenye masoko kama mahakama ya ndizi mabibo... Kukojoa 200 *3 kwa siku = 600
Haja K 200 = 200
Kuuoga =300
Jumla 1,100
Kwa mwezi 33,000/= kodi ya chumba kwa kopa mwananyamala,
Sasa siku za baridi unaweza ukaomba kuunga bando la choo kabisa.
Punguza kidogo mkuu unawatisha wa mikoani,kwa nini haja kubwa na ndogo unavitenganisha kwa uwiano huo? breki kuu zikikata breki ndogo lazima ifeli taili zote zitatembea kwa pamoja ndo mfumo wa breki za chini za binadamu,au wewe ni kiumbe gani?
 
Hii kauli nilikuwa naisikia tu mjini hakuna cha bure leo ndio nimeona.kujisaidia 500 kweli kweli.mavyoo yenyewe machafu hii hela inapelekwa wapi
Mie Huwa sihangaiki nikiwa mjini nimebanwa kunya natafuta sehemu tulivu napaki gari nafunga vioo nachukua mfuko wa plastic nakunya kwenye mfuko najifuta na toilet paper Kisha nafunga mfuko vizuri natupia mtaroni naendelea na mishe zangu
Kukojoa huwa Natumia chupa za maji natupa dirishani
Mjini ishi Kwa akili
 
Halafu mtoto wa mwenzio kama mnavyopenda kumuita chokalaa anaokota hilo fungashio akidhani bakio la ubwabwa tajiri kalitupa kumbe ni wewe "kalagabao" umetupa jivi lako,assume unakufa leo kesho mwanao anaokota hilo fungashio utajisikieje huko kaburini?
Adhabu ya kaburi inakutosha hayo mengine watafutiza ya nini mzazi mwenzetu?
 
Mie Huwa sihangaiki nikiwa mjini nimebanwa kunya natafuta sehemu tulivu napaki gari nafunga vioo nachukua mfuko wa plastic nakunya kwenye mfuko najifuta na toilet paper Kisha nafunga mfuko vizuri natupia mtaroni naendelea na mishe zangu
Kukojoa huwa Natumia chupa za maji natupa dirishani
Mjini ishi Kwa akili
Hivi ni kweli una miliki gari au ndo ushujaa nyuma ya keyboard
 
Hii kauli nilikuwa naisikia tu mjini hakuna cha bure leo ndio nimeona.kujisaidia 500 kweli kweli.mavyoo yenyewe machafu hii hela inapelekwa wapi
Sasa unafkiri kazi unayowaachia ya kuhifadhi ilo rundo la mavi ni kazi nyepesi
 
Mie Huwa sihangaiki nikiwa mjini nimebanwa kunya natafuta sehemu tulivu napaki gari nafunga vioo nachukua mfuko wa plastic nakunya kwenye mfuko najifuta na toilet paper Kisha nafunga mfuko vizuri natupia mtaroni naendelea na mishe zangu
Kukojoa huwa Natumia chupa za maji natupa dirishani
Mjini ishi Kwa akili
Nyie ndio hamtoagi lifti kumbe mnakunya humohumo
 
giphy (1).gif
 
Back
Top Bottom