Kweli mjini hakuna cha bure kujisaidia 500

Kweli mjini hakuna cha bure kujisaidia 500

Mie Huwa sihangaiki nikiwa mjini nimebanwa kunya natafuta sehemu tulivu napaki gari nafunga vioo nachukua mfuko wa plastic nakunya kwenye mfuko najifuta na toilet paper Kisha nafunga mfuko vizuri natupia mtaroni naendelea na mishe zangu
Kukojoa huwa Natumia chupa za maji natupa dirishani
Mjini ishi Kwa akili
na hiyo ndio akili yenyewe!? Pole sana.
 
Hii kauli nilikuwa naisikia tu mjini hakuna cha bure leo ndio nimeona.kujisaidia 500 kweli kweli.mavyoo yenyewe machafu hii hela inapelekwa wapi
Mbona pesa ndogo sana kwa hiyo huduma unayopewa!? Hasa ukizingatia unachanganya huduma mbili kwa pamoja" kunya na kukojoa!?"
 
Mie Huwa sihangaiki nikiwa mjini nimebanwa kunya natafuta sehemu tulivu napaki gari nafunga vioo nachukua mfuko wa plastic nakunya kwenye mfuko najifuta na toilet paper Kisha nafunga mfuko vizuri natupia mtaroni naendelea na mishe zangu
Kukojoa huwa Natumia chupa za maji natupa dirishani
Mjini ishi Kwa akili
Kwahiyo kwenye gari yako kuna mifuko ya Rambo na toilet papers. Nyinyi ndiyo mnachafua mitaro na maji ya mvua yasiweze kupita.
 
Back
Top Bottom