Kweli mjini hakuna cha bure kujisaidia 500

na hiyo ndio akili yenyewe!? Pole sana.
 
Hii kauli nilikuwa naisikia tu mjini hakuna cha bure leo ndio nimeona.kujisaidia 500 kweli kweli.mavyoo yenyewe machafu hii hela inapelekwa wapi
Mbona pesa ndogo sana kwa hiyo huduma unayopewa!? Hasa ukizingatia unachanganya huduma mbili kwa pamoja" kunya na kukojoa!?"
 
Kwahiyo kwenye gari yako kuna mifuko ya Rambo na toilet papers. Nyinyi ndiyo mnachafua mitaro na maji ya mvua yasiweze kupita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…