Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Unataka nimfananishe binadamu na mungu wako halafu hapo hapo unasema mungu wako ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kqeli unatumia akili wewe?

Unafahamu zero entropy ni nini?

Sina akili za kutumia, Mimi sio Atheist, wenye akili ni Atheist tu.
Eleza umuhimu wa zero entropy kwa binadam anayefikiri....
 
Kwa sababu mungu mwenyewe kasema yeye ni upendo, na wenye upendo hawaachi wanaowapenda wapate tabu kama wana uwezo wa kuzuia hilo.

Kwa nini mungu anayependa viumbe vyake aachie watoto wadogo waishi katika njaa, maradhi, matetemeko ya ardhi, utumwa etc?

Especially kama alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila tabu yoyote ile?

Hujajibu hili swali.

Wewe umekariri vitu vya kuandika, nimeuliza hata uhusiano uliopo Kati ya Mungu kutokuwepo na ulimwengu wenye shida unazo ziandika andika.
Unajifanya huoni hoja hiyo ambayo ni muhimu ili upewe jibubulikariri usiendelee na hoja butu Kama hiyo kuhitimisha ati Mungu hayupo.
Andika hoja za kimantiki
 
Is God willing to prevent evil, but not able? Then he is not omnipotent.

Is he able, but not willing? Then he is malevolent.

Is he both able and willing? Then whence cometh evil?

Is he neither able nor willing? Then why call him God?
 
Religion has actually convinced people that there's an invisible man living in the sky who watches everything you do, every minute of every day. And the invisible man has a special list of ten things he does not want you to do. And if you do any of these ten things, he has a special place, full of fire and smoke and burning and torture and anguish, where he will send you to live and suffer and burn and choke and scream and cry forever and ever 'til the end of time!

But He loves you. He loves you, and He needs money! He always needs money! He's all-powerful, all-perfect, all-knowing, and all-wise, somehow just can't handle money!
 
Waislamu wanaamini kuna vitu MUNGU hawezi
 
Yaani hoja zako ni za kitoto mmnooo. Unawadhalilisha atheist thinkers
 
Is God willing to prevent evil, but not able? Then he is not omnipotent.

Is he able, but not willing? Then he is malevolent.

Is he both able and willing? Then whence cometh evil?

Is he neither able nor willing? Then why call him God?

What is evil.
What do you use to measure evils.
Ukiweza jibu maswali hayo mawili utakuwa umeanza kuinuka kifikra
 
mungu muweza wa yote ni vogue statement tu kama vile good luck, god bless u etc hazina maana yoyote kungekua na mungu muweza wa yote dunia isingekua na suffering zote izi, kama kungekua na mungu muweza yote the minimum we could expect afanye ni at least kutoa basic needs kwa waja wake kama food, shelter and clothing..... kuna millions of people around the world hawana acess na basic needs sasa mungu aliyewaumba watu hawa why is he/she doesnt come to help????........ yaan in the most generous tone kama kweli yupo basi tukubaliane at least hana uwezo uo au he/she doesnt care otherwise ktk common sense ya kawaida kabisa mungu wa sifa hizo hayupo!!!
 
What is evil.
What do you use to measure evils.
Ukiweza jibu maswali hayo mawili utakuwa umeanza kuinuka kifikra

Since we are discussing your god, to be able to use immanent criticism, I will use the bible.

The world has evil, this evil includes not obeying god, that is why your god sent his son to die on the cross.

At the same time, there is no obeying god without gods grace. If one is not granted grace by gid, no matter how much ine tries, one will never understand and obey god.

So basically, god chooses who understands him and will therefore obey him, and who doesn't.

After that, he will reward those he chose and punish those he didn't. Because those he chose will understand and obey him while those who did not chose will not.

So essentially, god will send some people to hell, because they did not obey him, because god did not give them the grace and understanding to obey him.

Ni kama baba anayekataza mwanawe asiende shule, halafu mwana akishindwa kujua kusoma baba huyuhuyu amhukumu mwana kwa kushindwa kujua kusoma, huju baba ndiye aliyekataa kumpeleka shule mwana.

Upuuzi mtupu.
 
Waislamu wanaamini kuna vitu MUNGU hawezi

Huyo si mungu, labda Mr. Scaramanga.

Umesoma wapi hilo?

"....

That is because Allah, He is the Truth, and it is He Who gives life to the dead,-and it is He Who is Able to do all things. S. 22:6 Hilali-Khan"
 
Wewe umekariri vitu vya kuandika, nimeuliza hata uhusiano uliopo Kati ya Mungu kutokuwepo na ulimwengu wenye shida unazo ziandika andika.
Unajifanya huoni hoja hiyo ambayo ni muhimu ili upewe jibubulikariri usiendelee na hoja butu Kama hiyo kuhitimisha ati Mungu hayupo.
Andika hoja za kimantiki

Mwenye upendo na uwezo wa kuzuia matatizo anaachia awapendao wapatwe na matatizo?

Hujajibu hilo.
 
Mungu anajua tutakayochagua kabla hatujachagua au hajui?

Anajua tunatakayo chagua na kuto kuchagua

Anajua kila kitu kuhusu wewe na wajukuu wako ambao hata wewe huwajui.

Wafikiri hakujua Adam angekula lile tunda?!

Yuda kumsaliti Yesu?

Kwani wafikiri hakujua shetani angemuua Ayubu hadi akampa mpaka na zuio juu ya uhai wa Ayubu.

Yeye anajua yote! Na ametupa uhuru wakujichangukia tupendavyo waka hata hatma yake hatuzijui. Isipokuwa yeye tu Mungu mwenyezi.
#kiranga
 
Huyo si mungu, labda Mr. Scaramanga.

Umesoma wapi hilo?

"....

That is because Allah, He is the Truth, and it is He Who gives life to the dead,-and it is He Who is Able to do all things. S. 22:6 Hilali-Khan"

Ukiwaambia waislamu kuwa YESU ni mwana wa MUNGU wanasema mungu hawezi kuzaa, hawezi kuwa na mtoto, ndio maana mungu wao anahitaji nguvu za binadamu kuitetea dini yake.
 
Anajua tunatakayo chagua na kuto kuchagua

Anajua kila kitu kuhusu wewe na wajukuu wako ambao hata wewe huwajui.

Wafikiri hakujua Adam angekula lile tunda?!

Yuda kumsaliti Yesu?

Kwani wafikiri hakujua shetani angemuua Ayubu hadi akampa mpaka na zuio juu ya uhai wa Ayubu.

Yeye anajua yote! Na ametupa uhuru wakujichangukia tupendavyo waka hata hatma yake hatuzijui. Isipokuwa yeye tu Mungu mwenyezi.
#kiranga

Inawezekanaje mungu kujua tutakachofanya kabla hatujafanya na sisi tubaki na uhuru wa kuchagua?

That is a contradiction.
 
Hiki nini umeandika?,unajua maana ya uhuru? We bado kabisa ndugu nakushaur ukae pembeni usome comments za watu humu kisha ujue level yako ni ipi usiturudishe nyuma.

Kwa ulichoandika hata nikikuuliza iweje mungu(kama yupo) ambaye ni muweza wa yote na anajua yote yajayo anapataje hasira nadhani hutajua uanzie wapi kujibu.
 
Inawezekanaje mungu kujua tutakachofanya kabla hatujafanya na sisi tubaki na uhuru wa kuchagua?

That is a contradiction.

Aisee huyo jamaa atakuwa mgeni hili jukwaa we si unaona alichoandika?
 
Dog in period

Evil = Dog in Period
Matatizo ya kukurupukia vitu pasipo kujua undani wake.
Wewe ulifikiri kwa kuwa wenye akili wengi ambao ni wanasayansi wamekosa hekima kutambua uwepo wa Mungi. Kwa ujuha ulifikiri ni kinyume chake na kuingia mkenge ukajidanganya kwamba ukikataa uwepo wa mungu nawe utakuwa na akili sawa na wajanja hao.
Pole, Uhuru haupatikani kwa kukataa uwepo wa Mungu na sio kwamba nawe ukikataa uwepo wa Mungu basi akili ya kama Dr. Watson au prof. Hitchens nawe utaipata.
Umebug men, kichwa kigumu ukichanganya na kumkataa mungu unabaki kutoa Viroja JF ukijidanganya kuwa ni hoja.
Na kujaza c & p za hoja ambazo atheist kwa sasa hawazitumii kwa kuwa zinawaumbua madhaifu yao.
Endelea na unachoamini lakini kama ulizaliwa mzito wa kutafakari kumkataa mungu hakuongezi uwezo wa kutafakari.
Try to un-learn yourself for us to help you learn...
 
Mwenye upendo na uwezo wa kuzuia matatizo anaachia awapendao wapatwe na matatizo?

Hujajibu hilo.

Sijajua hoja yako yenye mantiki kuonyesha uwepo wa Mungu unategemea dunia isiyo na maovu.
Kinyume chake hoja yako ni mfu kabisa kwa kuwa haikusaidii kusimamia unachosimia.
Mimi sioni sababu ya kujibu hoja ambayo inachichanganya kiasi hiki.
Ninafahamu ni kuwepo kwa Mungu ndiko kunaweza kutambulisha uwepo wa maovu na mema sijui ni kwa vipi atheist aweza kuwa na ujasiri kuhoji maovu huku ukiyatumia kwamba ni ushahidi wa Mungu kutokuwepo...
Hili la kuwaachhia awapendao wapate matatizo linayeyushwa na hoja ya hapo juu.
Tafakari acha kukariri tuuu.
 
Back
Top Bottom