Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

You have failed to testify.

You have failed to testify what I have failed to testify.

I have made a case that your god is illogical and nonsensical.

First he puts a seal on your heart so you will not know him.

Then he punishes you for not knowing him.

Does that sound like a godlike quality?

I would not respect even a human father who prevents his son to go to school, and then punishes that very son for not knowing how to do simultaneous equations.

That is pretty much what the Quran says your god does. Except in his case the implication is much worse. Because, your god is supposed to be all knowing, all capable and all benevolent.
 
Mkuu! Mbona Kujua na Kupanga ni vitu viwili tofauti? Unavihusianishaje kufikia kuja na hii hoja?

Tatizo ni fikra za kutaka Mungu angeumba A man like robot-Conditioned man, Mungu asingeshindwa kuumba kiumbe aina hiyo, lakini huo haukuwa Mpango wake.

Jambo jema kujiuliza, uwe hivi ama vile, u wa thamani gani katika ukuu na uwepo wa Mungu? U nani wewe katika Ukuu na Uwepo wa Mungu?
Anaita sasa!

Kujua na kupanga ni vitu viwili tofauti kwako wewe na mimi ambao ujuzi wetu unaweza kuwa na makosa.

Ninaweza kuangalia utabiri wa hali ya hewa nikaona mvua itanyesha kesho. Nitajua hilo (ujuzi usio kamili, kwa sababu utabiri unaweza kukosea) lakini kujua huku si kupanga.

Huyo mungu wenu anayejua kila kitu, na ambaye kila anachokijua ni kweli, anatakiwa asijue kama sisi tunavyojua. Anatakiwa ajue kwa perfect knowledge.

Suppose mungu kajua kwamba mchezaji atakosa penati mwaka 2015, tangu kabla mchezaji huyu hajazaliwa, tangu mungu anaumba ulimwengu.

Mchezaji anazaliwa 1995.

Huyu mchezaji ana nafasi yoyote ya kufunga hiyo penati?
 
Akili yake imeangalia biblia na kujuta biblia ina makosa kibao.

Na akiki hiyo ndito mnasema kapewa na mungu.

Sasa hapa kama kuna aliyekosea ni yeye aliyeitumia akiki yake vizuri au mungu aliyempa akiki ambayo imeona makosa katika biblia?

Sasa Kama Aliona Ina makosa Kibao kwanini Yeye ahukumiwe na Mungu siku akimkuta huko Juu na Kumwambia Hakumpa Akili ya Kumjua.. .. Wengine Waliokuwa wanaisoma Wasihukumiwe kama Yeye...
 
Nani kasema lolote kuhusu wengine?

Kama mungu mwenyewe ndiye huyu wa contradictions kama hizi, kwanza yeye ndiye anakupa akili zako zote za kujua mema na mabaya, halafu akili hizo zikishindwa kumjua (ingawa kumjua yeye pia ni neema yake tu, na kama hajakupa neema hii hata ujitahidi vipi huwezi kumjua) anakuhukumu, unafikiri kweli yupo?
 
Kuna hili swala la kusema Mungu kashatupangia kesho yetu ipoje pia anajua wewe utafanya nini kesho kwa mantiki hiyo, Mungu ni muweza wa yote hata sisi atheist kashapanga tusikubali uwepo wake kama hajapanga na hivi tunafanyavyo tunajiamulia, basi tumtoe katika kundi la mpangaji wa yote. Hii ina maana hajui kesho yangu.

Naeleweka hivi!

Kwako wewe kutokupanga kuna maama moja na kutokujua sio?

Kaazi kweli kweli!
 
Swali muhimu si kwake yeye huyu mtu.

Swali muhimu ni, je, kwa mungu wenu ambaye anajua yote, anaweza yote, na yupo pote, kwake kuna tofauti kati ya kupanga na kujua?

Inawezekana anachojua na anachopanga vikawa tofauti?

Akijua kitu kitakuwa, kuna namna yoyote ya kitu hicho kutokuwa?
Yeye kama first mover na mjuzi wa yote, muweza yote na aliyepo pote, anatofautishaje kupanga na kujua?
 
Bado kujua na kupanga ni tofauti!
 
Bado kujua na kupanga ni tofauti!

Bado hujaelezea inakuwaje kujua na kupanga kunakuwa tofauti kwa mungu anayejua kwa perfect knowledge yote yatakayotokea ulimwenguni kabla hajaumba ulimwengu na ambaye hakuna kinachoweza kutokea bila yeye kuruhusu.

Mchezaji anayekwenda kupiga penati leo, mungu alijua kwamba huyu mchezaji atakosa penati tangu ulimwengu haujaumbwa.

Mchezaji huyu ana jinsi yoyote ya kufunga goli katika hiyo penati?
 
Nilijadili hili na wewe mara mia kidogo na hukuelewa,kitu gani kitakufanya unielewe leo?

Mtu ambae anaona kujua jambo kwa usahihi ni sawa na kulipanga bila kuona tofauti ya kinsingi ya kujua na kupanga huyo si arudi shule?

Mungu kuumba dunia ambayo kukosea kunawezekana ndio anakwa amepanga watu wakosee?
 
First jiulize kwann mungu ametuacha tuteseke je ni mpango wake...vp mtu akifa wanasema ni mapenzi ya mungu nadhan hakuna ukweli yeye ametupatia akir ya kujua mema na mabaya yote tunayoyafanya hatupangii yeye
 
Nilijadili hili na wewe mara mia kidogo na hukuelewa,kitu gani kitakufanya unielewe leo?

Mtu ambae anaona kujua jambo kwa usahihi ni sawa na kulipanga bila kuona tofauti ya kinsingi ya kujua na kupanga huyo si arudi shule?

Mungu kuumba dunia ambayo kukosea kunawezekana ndio anakwa amepanga watu wakosee?

Failure to plan is planning to fail.

Mungu kuumba dunia ambayo kukosea kunawezekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao kukosea hakuwezekani ni kupnga watu wakosee.

Kama angekuwa Software Architect halafu anapewa project ya ku design software, halafu anatengeneza bugs intentionally kwenye hiyo software wakati ana uwezo wa kutengeneza software isiyo na bugs, akigunduliwa anafukuzwa kazi kwa malicious incompetence.

Mtu akitumia hiyo software na kukidhi conditions za ku trigger hiyo bug, atakuwa ame trigger hiho bug kwa sababu imewekwa na huyo architect, bika ya huyo architect kuweka hiyo bug huyo mtu asingeweza ku trigger hiyo bug.

Same story kwa mungu. Kwa nini aumbe ulimwengu wenye mawaa kama aliweza kuumba uimwengu usio na mawaa?

Sasa kwa nini tuwe na higher standards kwa Software Architects sasio na ujuzi wote, uwezo wote wala upendo wote kuliko standards zetu kwa mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
 
Una tatizo gani kufikiri, huyo software engineer wako amekupa software pasipo operation manual ? Unafanya kinyume na ulivyoambiwa kwa kuongeza mautundu ili umlaumu software engineer
 
Hata unapopewa operation manual, unapewa operation manual baada ya software engineer kuhakikisha kila kitu anachoweza kufanya kukupa software isiyo na bugs kakifanya.

Software engineer hawezi kukupa manual huku anajua software ina bugs na anajua kuzi fix.

Huyo si software engineer ni kajanja.

Mungu wenu kwa nini kaacha bugs kwenye system ambayo angeweza kuiumba bila bugs kutoka mwanzo?
 
Bongo movie or movies ingeneral save XXX movie ndio hupangwa matukio yote katika movie husika. It has no reliable effects kwa wahusika/actors there to in a sense that huwezi kusemea vile walivyoact ndivyo walivyo. Hata kama aliua apart from that movie huwezi kumshtaki kwa murder.

Hii itakwenda sawa ikiwa na Mungu amepanga kila kitu. kwa lugha nyepesi mtu akipangiwa na Mungu anakuwa anaact under God's will by then Mungu hawezi kuja kuhukumu au kuuliza kwa kitu ambacho amekipanga mwenyewe.

Mkuu kwa uelewa wangu ni kuwa Mungu hupanga lakini mwanadamu huchagua...it's something more of a free will...sasa utahukumiwa kwa kutokufanya maamuzi sahihi...

In the mean time upande wa pili kuna evil forces ambazo nazo zina mipango yake zinasubiri uzipe kibali zikutawale pale tu utakapochagua upande huo...

Kumbuka huwezi kuhukumiwa kama mwanzo wa yote hujapewa muongozo wa matendo mabaya na mema...

Pamoja na kwamba tunafanya mambo mabaya tunaachwa tuishi ili tupewe second chance(s)...

How come mpango wa Mungu unakuwa interfered na mind ya mwanadamu and/or shetani???

Kwa ruksa kutoka kwa mwanadamu mwenyewe...

Ni kama vile ambavyo wewe kama baba unakuwa na mipango kibao kwa mwanao, unaitekeleza vizuri kabisa lakini kwa kuwa mwanao naye ana utashi basi anaweza kuamua kukaidi maagizo yako na hata akajikuta matatizoni...

How could you limits god's power?

Kimsingi huwezi zuia nguvu za Mungu...

Isipokuwa mtu kwa utashi wako unaweza kujitenga na nguvu za Mungu na hapo ndipo unapoweza kushambuliwa au kujiamulia utakavyo...

Im Muslim, though rationalist, never believe in blind! I know kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake. TONAPOPISHANA NI PADOGO TU, Kwamba Mimi naamini Mungu hajapanga KILA kitu, na hivyo alivyovipanga neither mwanadamu nor shetani anaweza pangua. Ila najua anajua kila kitu, ie jana, leo na kesho. Hope unawaeza kutofautisha kati ya KUPANGA na KUJUA.

Mmhh!!! Mungu asipojua kinachoendelea sidhani kama huyo ataendelea kuitwa Mungu vivyo hivyo asipopanga...

Kinachotokea tu ni kwamba wanadamu huenenda kinyume na mpango/mipango yake...

Na hapo atakuacha hadi utaporejea kufanya toba ndio mambo yataendelea kama yalivyopangwa ila kwa kuchelewa...

Hiyo theory kwamba Mungu kapanga kila kitu iko hata katika bongo za waislamu tena wengi tu!!!!

Naamini wapo sahihi...

Si umeona hapo?
Kivipi mtu achague wakati alishapangiwa?

Mkuu si lazima kila kilichopangwa kifanywe na aliyepangiwa...

Utashi, uelewa na utii pekee ndio utamfanya mtu ashikamane na alichopangiwa...

Kwenye Biblia kuna mfano mmoja wa nabii aliyepangiwa kwenda kuhubiri anaitwa Yona, lakini kwa utashi wake akakacha yale maagizo akaenda elsewhere...kilichotokea huko akamezwa na samaki...ilimchukua siku tatu za toba ndipo samaki akamtema...

eg: Mungu ameshanipangia ubishi na kutomkubali, then ntawezaje kutokua mbishi na kumkubali? Mimi nnauwezo gani wa kiasi cha kupangua mpango wake? Kama anapanga kila kitu kwanini asipange watu wote tumkubali na kutmukuza?

Utashi wako wa kufanya maamuzi ndio unaokupa akili ya kupangua au kushikamana...

Usifananishe na kitu kama programming ambacho hufanywa na vifaa visivyo na utashi...

Kufanya kitu kwa kusudi lake hiyo iko sahihi. hapo "hata wabaya kwa siku ya ubaya" sijaelewa. Can you tell me amepangia baadhi ya watu ubaya ili akawaadhibu?

Jibu ni ndio....

Hili jambo bado naendelea kulielewa nami pia, sina maelezo ya ziada...

Or anamakusudi gani kupangia wengine ubaya then akaleta vitabu ili watu waokoke? Dont you God atakuwa anajikontradict hapo?

Kwa uelewa wangu kuna watu ambao hata ufanyeje hawawezi kumpenga wala kumfuata Mungu...

Biblia huwa inawaita wana wa uovu...

Kwa nini ipo hivyo, mimi sijui...

Huo utayari unatokana na mipango ya Mungu au free will ya mwanadamu inayoambatana na reason/s?

Bila shaka vyote viwili...

Ivi kumbe na Mungu ni .... wa VISASI?

Haswa...enzi za kale watu waliofanya dhihaka kwa watu wake aliwaadhibu...

Wapo walioadhibiwa kwa moto, maji...

Kama alikuumba anaweza kukuadhibu pia...

Ivi na Mungu anaadhibu mtu kwa kosa la mtu mwengine???

Upo sahihi...

Mathalani, kwani umesahau kuwa Adam alifanya uasi lakini hadi leo hii tunaandamwa na uasi huo?

Kwanini awaumbe walemavu watoto kwa makosa ya wazazi wao?

Kimsingi Mungu hajawahi kuumba mwanadamu ambaye hajakamilika...

Kwa nini watu huzaliwa walemavu, hili ni somo jingine liitwalo LAANA...

Mmh! ok Watu8 Im on my reseach kuhusiana na hizi hadithi za Dini na Mungu. Zinachanganya sana hizi, then kila kundi linajiona liko sahihi na makundi ya dini ni zaidi ya mia tano Duniani.

Hahaha kila mtu au upande lazima ujione upo sahihi mkuu...

Kutokuamini kuwa upo sahihi basi dhana nzima ya kuamini itakuwa ni upumbavu mtupu...

Lakini ukweli ni kuwa kama kweli kuna Mungu na Mungu huyo ni mmoja, basi kuna kikundi kimojawapo kipo sahihi na wengine wapo mbali na usahihi...

Pamoja mkuu...
 
Last edited by a moderator:
You have failed to testify what I have failed to testify.

I have made a case that your god is illogical and nonsensical.

First he puts a seal on your heart so you will not know him.

Then he punishes you for not knowing him.

Does that sound like a godlike quality?

I would not respect even a human father who prevents his son to go to school, and then punishes that very son for not knowing how to do simultaneous equations.

That is pretty much what the Quran says your god does. Except in his case the implication is much worse. Because, your god is supposed to be all knowing, all capable and all benevolent.

How could I testify your allegation?

If you say my God is illogical the burden to proof lies to you. Not me. If you cant proof (as you will never) is up to you.
 
Failure to plan is planning to fail.

Mungu kuumba dunia ambayo kukosea kunawezekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao kukosea hakuwezekani ni kupnga watu wakosee.

Kama angekuwa Software Architect halafu anapewa project ya ku design software, halafu anatengeneza bugs intentionally kwenye hiyo software wakati ana uwezo wa kutengeneza software isiyo na bugs, akigunduliwa anafukuzwa kazi kwa malicious incompetence.

Mtu akitumia hiyo software na kukidhi conditions za ku trigger hiyo bug, atakuwa ame trigger hiho bug kwa sababu imewekwa na huyo architect, bika ya huyo architect kuweka hiyo bug huyo mtu asingeweza ku trigger hiyo bug.

Same story kwa mungu. Kwa nini aumbe ulimwengu wenye mawaa kama aliweza kuumba uimwengu usio na mawaa?

Sasa kwa nini tuwe na higher standards kwa Software Architects sasio na ujuzi wote, uwezo wote wala upendo wote kuliko standards zetu kwa mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Ngobjera zile zile ....

Ngoja watakuja wale ambao wameshazoea kuzisoma ....!!
 
How could I testify your allegation?

If you say my God is illogical the burden to proof lies to you. Not me. If you cant proof (as you will never) is up to you.

I already pointed out the logical inconsistency of your god idea, where do you need extra tutoring?
 
Ngobjera zile zile ....

Ngoja watakuja wale ambao wameshazoea kuzisoma ....!!

Cha msingi si kwamba ni zile zile au mpya.

Kabla ya kuzijibu kimantiki hizi, hujafaulu kupewa mpya.

Kwa hivyo, suala ni, umeshaweza kuzipangua au hujaweza?
 
Mkuu kwa uelewa wangu ni kuwa Mungu hupanga lakini mwanadamu huchagua...it's something more of a free will...sasa utahukumiwa kwa kutokufanya maamuzi sahihi...

In the mean time upande wa pili kuna evil forces ambazo nazo zina mipango yake zinasubiri uzipe kibali zikutawale pale tu utakapochagua upande huo...

Kumbuka huwezi kuhukumiwa kama mwanzo wa yote hujapewa muongozo wa matendo mabaya na mema...

Pamoja na kwamba tunafanya mambo mabaya tunaachwa tuishi ili tupewe second chance(s)...

Kwa ruksa kutoka kwa mwanadamu mwenyewe...

Ni kama vile ambavyo wewe kama baba unakuwa na mipango kibao kwa mwanao, unaitekeleza vizuri kabisa lakini kwa kuwa mwanao naye ana utashi basi anaweza kuamua kukaidi maagizo yako na hata akajikuta matatizoni...

Kimsingi huwezi zuia nguvu za Mungu...

Isipokuwa mtu kwa utashi wako unaweza kujitenga na nguvu za Mungu na hapo ndipo unapoweza kushambuliwa au kujiamulia utakavyo...

Mmhh!!! Mungu asipojua kinachoendelea sidhani kama huyo ataendelea kuitwa Mungu vivyo hivyo asipopanga...

Kinachotokea tu ni kwamba wanadamu huenenda kinyume na mpango/mipango yake...

Na hapo atakuacha hadi utaporejea kufanya toba ndio mambo yataendelea kama yalivyopangwa ila kwa kuchelewa...

Naamini wapo sahihi...

Mkuu si lazima kila kilichopangwa kifanywe na aliyepangiwa...

Utashi, uelewa na utii pekee ndio utamfanya mtu ashikamane na alichopangiwa...

Kwenye Biblia kuna mfano mmoja wa nabii aliyepangiwa kwenda kuhubiri anaitwa Yona, lakini kwa utashi wake akakacha yale maagizo akaenda elsewhere...kilichotokea huko akamezwa na samaki...ilimchukua siku tatu za toba ndipo samaki akamtema...

Utashi wako wa kufanya maamuzi ndio unaokupa akili ya kupangua au kushikamana...

Usifananishe na kitu kama programming ambacho hufanywa na vifaa visivyo na utashi...

Jibu ni ndio....

Hili jambo bado naendelea kulielewa nami pia, sina maelezo ya ziada...

Kwa uelewa wangu kuna watu ambao hata ufanyeje hawawezi kumpenga wala kumfuata Mungu...

Biblia huwa inawaita wana wa uovu...

Kwa nini ipo hivyo, mimi sijui...

Bila shaka vyote viwili...

Haswa...enzi za kale watu waliofanya dhihaka kwa watu wake aliwaadhibu...

Wapo walioadhibiwa kwa moto, maji...

Kama alikuumba anaweza kukuadhibu pia...

Upo sahihi...

Mathalani, kwani umesahau kuwa Adam alifanya uasi lakini hadi leo hii tunaandamwa na uasi huo?

Kimsingi Mungu hajawahi kuumba mwanadamu ambaye hajakamilika...

Kwa nini watu huzaliwa walemavu, hili ni somo jingine liitwalo LAANA...

Hahaha kila mtu au upande lazima ujione upo sahihi mkuu...

Kutokuamini kuwa upo sahihi basi dhana nzima ya kuamini itakuwa ni upumbavu mtupu...

Lakini ukweli ni kuwa kama kweli kuna Mungu na Mungu huyo ni mmoja, basi kuna kikundi kimojawapo kipo sahihi na wengine wapo mbali na usahihi...

Pamoja mkuu...

Mungu hajawahi kuumba mtu ambaye hajakamilika wakati mtu anahitaji kula na anaenda chooni?

Na pia ana waste system iliyo na high inefficiency, unafahamu kukamilika ni nini wewe?
 
Back
Top Bottom