Bongo movie or movies ingeneral save XXX movie ndio hupangwa matukio yote katika movie husika. It has no reliable effects kwa wahusika/actors there to in a sense that huwezi kusemea vile walivyoact ndivyo walivyo. Hata kama aliua apart from that movie huwezi kumshtaki kwa murder.
Hii itakwenda sawa ikiwa na Mungu amepanga kila kitu. kwa lugha nyepesi mtu akipangiwa na Mungu anakuwa anaact under God's will by then Mungu hawezi kuja kuhukumu au kuuliza kwa kitu ambacho amekipanga mwenyewe.
Mkuu kwa uelewa wangu ni kuwa Mungu hupanga lakini mwanadamu huchagua...it's something more of a free will...sasa utahukumiwa kwa kutokufanya maamuzi sahihi...
In the mean time upande wa pili kuna evil forces ambazo nazo zina mipango yake zinasubiri uzipe kibali zikutawale pale tu utakapochagua upande huo...
Kumbuka huwezi kuhukumiwa kama mwanzo wa yote hujapewa muongozo wa matendo mabaya na mema...
Pamoja na kwamba tunafanya mambo mabaya tunaachwa tuishi ili tupewe second chance(s)...
How come mpango wa Mungu unakuwa interfered na mind ya mwanadamu and/or shetani???
Kwa ruksa kutoka kwa mwanadamu mwenyewe...
Ni kama vile ambavyo wewe kama baba unakuwa na mipango kibao kwa mwanao, unaitekeleza vizuri kabisa lakini kwa kuwa mwanao naye ana utashi basi anaweza kuamua kukaidi maagizo yako na hata akajikuta matatizoni...
How could you limits god's power?
Kimsingi huwezi zuia nguvu za Mungu...
Isipokuwa mtu kwa utashi wako unaweza kujitenga na nguvu za Mungu na hapo ndipo unapoweza kushambuliwa au kujiamulia utakavyo...
Im Muslim, though rationalist, never believe in blind! I know kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake. TONAPOPISHANA NI PADOGO TU, Kwamba Mimi naamini Mungu hajapanga KILA kitu, na hivyo alivyovipanga neither mwanadamu nor shetani anaweza pangua. Ila najua anajua kila kitu, ie jana, leo na kesho. Hope unawaeza kutofautisha kati ya KUPANGA na KUJUA.
Mmhh!!! Mungu asipojua kinachoendelea sidhani kama huyo ataendelea kuitwa Mungu vivyo hivyo asipopanga...
Kinachotokea tu ni kwamba wanadamu huenenda kinyume na mpango/mipango yake...
Na hapo atakuacha hadi utaporejea kufanya toba ndio mambo yataendelea kama yalivyopangwa ila kwa kuchelewa...
Hiyo theory kwamba Mungu kapanga kila kitu iko hata katika bongo za waislamu tena wengi tu!!!!
Naamini wapo sahihi...
Si umeona hapo?
Kivipi mtu achague wakati alishapangiwa?
Mkuu si lazima kila kilichopangwa kifanywe na aliyepangiwa...
Utashi, uelewa na utii pekee ndio utamfanya mtu ashikamane na alichopangiwa...
Kwenye Biblia kuna mfano mmoja wa nabii aliyepangiwa kwenda kuhubiri anaitwa Yona, lakini kwa utashi wake akakacha yale maagizo akaenda elsewhere...kilichotokea huko akamezwa na samaki...ilimchukua siku tatu za toba ndipo samaki akamtema...
eg: Mungu ameshanipangia ubishi na kutomkubali, then ntawezaje kutokua mbishi na kumkubali? Mimi nnauwezo gani wa kiasi cha kupangua mpango wake? Kama anapanga kila kitu kwanini asipange watu wote tumkubali na kutmukuza?
Utashi wako wa kufanya maamuzi ndio unaokupa akili ya kupangua au kushikamana...
Usifananishe na kitu kama programming ambacho hufanywa na vifaa visivyo na utashi...
Kufanya kitu kwa kusudi lake hiyo iko sahihi. hapo "hata wabaya kwa siku ya ubaya" sijaelewa. Can you tell me amepangia baadhi ya watu ubaya ili akawaadhibu?
Jibu ni ndio....
Hili jambo bado naendelea kulielewa nami pia, sina maelezo ya ziada...
Or anamakusudi gani kupangia wengine ubaya then akaleta vitabu ili watu waokoke? Dont you God atakuwa anajikontradict hapo?
Kwa uelewa wangu kuna watu ambao hata ufanyeje hawawezi kumpenga wala kumfuata Mungu...
Biblia huwa inawaita wana wa uovu...
Kwa nini ipo hivyo, mimi sijui...
Huo utayari unatokana na mipango ya Mungu au free will ya mwanadamu inayoambatana na reason/s?
Bila shaka vyote viwili...
Ivi kumbe na Mungu ni .... wa VISASI?
Haswa...enzi za kale watu waliofanya dhihaka kwa watu wake aliwaadhibu...
Wapo walioadhibiwa kwa moto, maji...
Kama alikuumba anaweza kukuadhibu pia...
Ivi na Mungu anaadhibu mtu kwa kosa la mtu mwengine???
Upo sahihi...
Mathalani, kwani umesahau kuwa Adam alifanya uasi lakini hadi leo hii tunaandamwa na uasi huo?
Kwanini awaumbe walemavu watoto kwa makosa ya wazazi wao?
Kimsingi Mungu hajawahi kuumba mwanadamu ambaye hajakamilika...
Kwa nini watu huzaliwa walemavu, hili ni somo jingine liitwalo LAANA...
Mmh! ok
Watu8 Im on my reseach kuhusiana na hizi hadithi za Dini na Mungu. Zinachanganya sana hizi, then kila kundi linajiona liko sahihi na makundi ya dini ni zaidi ya mia tano Duniani.
Hahaha kila mtu au upande lazima ujione upo sahihi mkuu...
Kutokuamini kuwa upo sahihi basi dhana nzima ya kuamini itakuwa ni upumbavu mtupu...
Lakini ukweli ni kuwa kama kweli kuna Mungu na Mungu huyo ni mmoja, basi kuna kikundi kimojawapo kipo sahihi na wengine wapo mbali na usahihi...
Pamoja mkuu...