Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Complexity ni lazima iwe imeumbwa by design?

wewe tangu juzi hujibu swali langu unadandia hapa...
nimekwambia nimejivika uhusika wa ujinga na sielewi kivipi popo nii mamalia na si ndege(nyuni).nishawishi nikubali hoja hyo.hilo swali lako najua unapoelekea kuwa kama vitu complex vimeumbwa basi hata Mungu atakuwa kaumbwa.najua unaelekea huko.kama wewe umenipuuza kwa nin unataka na mie nikujibu??idiot
 
CC Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Hapa sijui unajaribu kumchambua Mungu yupi...

Mungu nimjuaye mimi ambaye ni Muumba wa vitu vyote viijazavyo nchi anajua jana, leo na kesho ya mtu...

Wakati huo huo kila mwanadamu yu na nafasi ya kuamua hatma ya mambo yake...

Ubaya au wema unaoufanya umefanywa kutokana na utashi na maamuzi yako binafsi baada ya kuwaza na kuwazua katika fahamu zako...

Kwaiyo Watu8 unaamini kabisa Mungu kapanga kila kitu???

If no, no comment but if yes i have questions to ask you...
 
Last edited by a moderator:
wewe tangu juzi hujibu swali langu unadandia hapa...
nimekwambia nimejivika uhusika wa ujinga na sielewi kivipi popo nii mamalia na si ndege(nyuni).nishawishi nikubali hoja hyo.hilo swali lako najua unapoelekea kuwa kama vitu complex vimeumbwa basi hata Mungu atakuwa kaumbwa.najua unaelekea huko.kama wewe umenipuuza kwa nin unataka na mie nikujibu??idiot

Nilishawahi kukwambia kwamba popo ni mamalia na si ndege?

Swali la complexity hujalijibu bado, umesema tu unajua ninakoelekea.

Lakini hujalijibu.

Kuhusu mdomo mchafu Sheikh Mohammed Said angesema hujafundishwa adab
 
Last edited by a moderator:
Nilishawahi kukwambia kwamba popo ni mamalia na si ndege?

Swali la complexity hujalijibu bado, umesema tu unajua ninakoelekea.

Lakini hujalijibu.

Kuhusu mdomo mchafu Sheikh Mohammed Said angesema hujafundishwa adab

ha ha kiranga mdomo wako ni msafi kuniambia yale maneno yako?? unadhani siyakumbuki.?? naona mkuki kwa nguruwe kumbe eehh?? anyway swala la popo hata mimi nafaham ni mamalia lakin nimeassume kuwa nimejivika koti la ujinga kama vile sijawahi kuingia darasani nishawishi nikubali hilo jambo.unapolazimisha kwa kusema "nilishasema popo ni mamalia" alafu unakaa kimya huendelei bila kunipa sababu zako hasa za ushuhuda mi nakuona bado wewe ni juha kabisa.unajifanya una akili nyiiingi lakin hamna kitu,nje ya vitabu ulivokariri huna hoja,una mawazo mgando sana.kila siku unaambiwa toa shuhuda wa kimantiki kuwa Mungu hayupo oohh mara pembetatu duara sijui imefanyaje mara Mungu wenu anasifa ambazo zinajicontradict .sawa basi kwa nini usitupe wewe sababu zako za kutoamini Mungu bila kurejea sifa ulizotajiwa na watu au vitabu usivoamini??unabaki unarukaruka tu kama panzi.haya na wewe kajifunze adabu kwa maneno ulonijibu then uje kunijibu hoja zangu.kama huwezi piga kimya.heshima iwepo na tupingane bila kupigana kwa maneno yasiyoridhisha.period
 
Ili uwe na sababu ya kuniambia nikuthibitishie kwamba popo ni mammalia na si ndege, inabidi niwe nishawahi kujuambia hivyo.

Kama nimeshawahi kukuambia hivyo, utaweza kunijia na kuniuliza. Kiranga, uliniambia popo ni mammalia na si ndege, unaweza kunithibitisgia?

Hapo ndipo nitakuwa na wajibu wa ama kukuonesha ni jinsi gani popo ni mammalia, ama kukuambia "unajua kwa kweli, na mimi nimesoma juu juu tu shuleni kwenye somo la sayansi na baiolojia, sijaelewa vizuri na siwezi kujufafanulia".

Lakini leo mimi sijawahi kukuambia habari hii, unakuja kuniuliza unaanzia wapi kuniuliza?

Ni sawa na mimi nianze kukuuliza kwa nini chini ya daraja la Salenda la zamani maji yanageuka rangi ya damu? Wakati hiyo habari hujaniambia.
 
Uwepo wa Mungu ni kama debate katka vichwa vya wengi, ila ebu tuangalie ukweli kwa kutumia theory moja kati ya hizi tatu.
1. The truth of any reality is based on its consequences (what is true, is what works), swali kuna matokeo yoyote yanayoasababishwa na uwepo wa Mungu?
2. Theory Of Coherence; 'For the idea to be true, it must have reasons that why you believe it'. Je Tuna sababu anuai za kuthibitisha uwepo wa Mungu?
3. Theory Of Correspondance; 'knowledge become true when the reality which you trying to perceive correspond with the ideas already present in the mind'. Je Mungu aliopo kichwan mwetu kifikra (tuliyemwuumba vichwan mwetu kwasababu hatujamwona) ana correspond na Mungu halisi?
TUKIJIBU MASWALI HAYA TUNAMALIZA UBISHI
 
The answer is Yes...

Ikiwa kapanganga kila kitu, huoni kwamba anatuchezea 'bongo movie?

Kwanini sasa wengine akawaingize mbinguni na wengine motoni?
How could i act beyond God planning? Ikiwa ameshanipangia kutomkubali kwani akaniadhibu by then?

Ivi unadhani vitabu vyake vinaweza kunifanya nimkubali wakati alishanipangia kutomkubali?

Ivi huoni Mungu apangae kila kitu hana uadilifu, upendo, busara na ni mbaguzi!!!!

Kwanini sasa wengine awapangie wazaliwe walemavu na wengine wazima? Au walemavu hawajapangiwa na Mungu kuwa vile?

Kwanini apange wengine wawe tajiri na wengine maskini? kama sio upendeleo ni nini hiko?

Kwanini amempangia shetani kutupotosha?

Maswali ni mengi ila nahisi hayo yanatosha coz unapata picha where my point is.
 
Ikiwa kapanganga kila kitu, huoni kwamba anatuchezea 'bongo movie?

Kwa nini waandika hivi?

Mungu hupanga lakini ubatili/ukaidi wa mwanadamu na mbinu ovu za shetani huingilia kati...

Kwanini sasa wengine akawaingize mbinguni na wengine motoni?

Mkuu sina uhakika wewe ni mfuasi wa imani ipi lakini nina imani kuwa unafahamu vyema taratibu za hukumu ya haki...

Kwa matendo mtu uhukumiwa, aliye muasi hupewa adhabu sawasawa na uasi wake na mtu mwema hupewa thawabu...

Mwanadamu kapewa fursa ya kuchagua njia moja kati ya mbili, uovu au wema...

How could i act beyond God planning?

Huwezi na wala haiwezekani...

Ikiwa ameshanipangia kutomkubali kwani akaniadhibu by then?

Katika kitabu cha Biblia kuna hii aya;
Mithali 16:4 Bwana amefanya kila kitu kwa kusudi lake; Naam, hata wabaya kwa siku ya ubaya.

Hivyo utaadhibiwa kwa kuwa pamoja na ubaya ulioumbwa nao bado umepewa nafasi ya kukacha ubaya huo na kufanya wema...

Ivi unadhani vitabu vyake vinaweza kunifanya nimkubali wakati alishanipangia kutomkubali?

Mkuu kumkubali Mungu hakutokani na vitabu vyake bali kunaanza na utayari wa moyo...

Moyo usio tayari hauwezi kumkubali na kufuata mafundisho ya Mungu...

Ivi huoni Mungu apangae kila kitu hana uadilifu, upendo, busara na ni mbaguzi!!!!

Sasa mkuu, ataitwaje Mungu kama vitu vingine ataviacha tuvipange sisi?

Huoni kutakuwa na chaos hapo?

Kwanini sasa wengine awapangie wazaliwe walemavu na wengine wazima? Au walemavu hawajapangiwa na Mungu kuwa vile?

Sio walemavu wote huzaliwa hivyo kwa matakwa ya Mungu hata kama ni mpango wake...

Wengine huzaliwa hivyo kwa sababu ya adhabu tu za wazazi au vizazi...

Mungu huwa anapatiliza uovu wa wazazi kwa vizazi...

Inapotokea hivyo basi shetani hupewa mamlaka ya kuharibu...

Kwanini apange wengine wawe tajiri na wengine maskini? kama sio upendeleo ni nini hiko?

Mungu hajaumba madaraja ya watu kulingana na kiasi cha mali, wingi au uchache wa fedha...

Utajiri au umaskini ni matokeo ya mtu kuishi duniani na husababishwa na namna utumiavyo nguvu uliyopewa na Mungu...

Kumb 8:18 Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye NGUVU ZA KUPATA UTAJIRI; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.

Si mapenzi ya Mungu tuwe maskini kwa kuwa yeye mwenyewe ndiye atupaye nguvu ili tupate utajiri! Kama basi Mungu anatupa nguvu za kupata utajiri, ina maana ni wazi kwamba Mungu hapendi tuwe maskini.

Kwanini amempangia shetani kutupotosha?

Hahah...mkuu nadhani unaafiki kuwa huwezi kuvuka darasa pasipo kufaulu mtihani, shetani yupo kutoa mitihani(majaribu) ili imani zetu zipimwe ni kwa kiasi gani tunampenda huyu Mungu aliyetuumba...

Zaidi tambua kuwa mwanadamu ni mkuu zaidi ya shetani, hivyo usiogope sana na ukamuona shetani ana mamlaka kukuzidi hata umuogope...
 
A rather exposing question.

Bertrand Russel, mwanahisabati na msoni wa mantiki wa kutoka Uingereza alishawahi kusema kwamba akifa na kukuta kuna mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote, na akihukumiwa kwa kutoamini mungu, atamhoji mungu huyo kwa nini hajumpa akili za kumjua.

Na mungu akithibitisha kuwa akili alimpa lakini hakuzitumia ? Free will ...
 
Doyi karibu katika uhuru jikomboe na utumwa wa kidini ambao una hasara zaidi kuliko faida....Jinasueeee

Hivi Atheist nani kawabrainwash kiasi cha kuamini kwamba ukiwa Atheist wewe unakuwa na haki miliki ya Uhuru wa kufikiri ? Newton aliamini Mungu lakini aliyotenda wewe hutii mguu.
Nani kawarogaaa ?
 
Last edited by a moderator:
Kuna hili swala la kusema Mungu kashatupangia kesho yetu ipoje pia anajua wewe utafanya nini kesho kwa mantiki hiyo, Mungu ni muweza wa yote hata sisi atheist kashapanga tusikubali uwepo wake kama hajapanga na hivi tunafanyavyo tunajiamulia, basi tumtoe katika kundi la mpangaji wa yote. Hii ina maana hajui kesho yangu.

Naeleweka hivi!

Kuweza yote ni sawa na kutenda yote kwa Maatheist ?
Kujua yatayokuwa ni sawa na kupanga yatayotendwa ?
Ni mjuzi wa yote lakini aliwaumba binadam na utashi na kuwapa uwezo wa kujua JEMA NA BAYA na uhuru wa kuchagua...
 
We kilaza kweli yaani Leo ndo unagundua kuwa Mungu ndo mkuu wengine tunajua kabla ya kuzaliwa
 
Mungu gani unayeamini kwamba yupo?

Kuamini unaruhusiwa kuamini chochote. Kina mikataba ya kimataifa kutetea imani yako. Lakini je, unajua kwamba mungu yupo?

Unaelewa tofauti ya kuamini na kujua?

Nawe hukomi na maswali ya kutoto huku ukijiita mwanasayansi ?
Wewe unaamini uwepo wa Gravity , uwepo wa Umeme nk nk nami natetea imani yako sasa kwa nini Mimi ninayeamini Mungu kwa kuwa najua Jema na Baya unione sina maana lakini unayeamini Gravity na Umeme ujione mjanja ?.
Ulimbukeni huo unatokana na nini ?
 
Complexity ni lazima iwe imeumbwa by design?

Sio complexity, kila kilichopo kina maelezo ya chanzo chake. Hata ambavyo sio complex vina maelezo ya namna vimefanyika kuwa vile au pale vilipo.
Complexity complexity complexity umekariri
 
Back
Top Bottom