Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Unataka nimfananishe binadamu na mungu wako halafu hapo hapo unasema mungu wako ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kqeli unatumia akili wewe?
Unafahamu zero entropy ni nini?
Kwa sababu mungu mwenyewe kasema yeye ni upendo, na wenye upendo hawaachi wanaowapenda wapate tabu kama wana uwezo wa kuzuia hilo.
Kwa nini mungu anayependa viumbe vyake aachie watoto wadogo waishi katika njaa, maradhi, matetemeko ya ardhi, utumwa etc?
Especially kama alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila tabu yoyote ile?
Hujajibu hili swali.
Religion has actually convinced people that there's an invisible man living in the sky who watches everything you do, every minute of every day. And the invisible man has a special list of ten things he does not want you to do. And if you do any of these ten things, he has a special place, full of fire and smoke and burning and torture and anguish, where he will send you to live and suffer and burn and choke and scream and cry forever and ever 'til the end of time!
But He loves you. He loves you, and He needs money! He always needs money! He's all-powerful, all-perfect, all-knowing, and all-wise, somehow just can't handle money!
Is God willing to prevent evil, but not able? Then he is not omnipotent.
Is he able, but not willing? Then he is malevolent.
Is he both able and willing? Then whence cometh evil?
Is he neither able nor willing? Then why call him God?
What is evil.
What do you use to measure evils.
Ukiweza jibu maswali hayo mawili utakuwa umeanza kuinuka kifikra
Waislamu wanaamini kuna vitu MUNGU hawezi
Wewe umekariri vitu vya kuandika, nimeuliza hata uhusiano uliopo Kati ya Mungu kutokuwepo na ulimwengu wenye shida unazo ziandika andika.
Unajifanya huoni hoja hiyo ambayo ni muhimu ili upewe jibubulikariri usiendelee na hoja butu Kama hiyo kuhitimisha ati Mungu hayupo.
Andika hoja za kimantiki
sema wewe unavyo amini acha kuropokaWaislamu wanaamini kuna vitu MUNGU hawezi
Mungu anajua tutakayochagua kabla hatujachagua au hajui?
Huyo si mungu, labda Mr. Scaramanga.
Umesoma wapi hilo?
"....
That is because Allah, He is the Truth, and it is He Who gives life to the dead,-and it is He Who is Able to do all things. S. 22:6 Hilali-Khan"
Anajua tunatakayo chagua na kuto kuchagua
Anajua kila kitu kuhusu wewe na wajukuu wako ambao hata wewe huwajui.
Wafikiri hakujua Adam angekula lile tunda?!
Yuda kumsaliti Yesu?
Kwani wafikiri hakujua shetani angemuua Ayubu hadi akampa mpaka na zuio juu ya uhai wa Ayubu.
Yeye anajua yote! Na ametupa uhuru wakujichangukia tupendavyo waka hata hatma yake hatuzijui. Isipokuwa yeye tu Mungu mwenyezi.
#kiranga
Anajua tunatakayo chagua na kuto kuchagua
Anajua kila kitu kuhusu wewe na wajukuu wako ambao hata wewe huwajui.
Wafikiri hakujua Adam angekula lile tunda?!
Yuda kumsaliti Yesu?
Kwani wafikiri hakujua shetani angemuua Ayubu hadi akampa mpaka na zuio juu ya uhai wa Ayubu.
Yeye anajua yote! Na ametupa uhuru wakujichangukia tupendavyo waka hata hatma yake hatuzijui. Isipokuwa yeye tu Mungu mwenyezi.
#kiranga
Inawezekanaje mungu kujua tutakachofanya kabla hatujafanya na sisi tubaki na uhuru wa kuchagua?
That is a contradiction.
What is evil.
What do you use to measure evils.
Ukiweza jibu maswali hayo mawili utakuwa umeanza kuinuka kifikra
Dog in period
Mwenye upendo na uwezo wa kuzuia matatizo anaachia awapendao wapatwe na matatizo?
Hujajibu hilo.