Kuwepo na uovu Ina maana unaamini kwamba kuna wema.
Kama unaamini kuwa kuna wema na uovu ni kwamba kimantiki unaamini kuwepo kwa kanuni imayoweza tumika kutenga wema dhidi ya uovu, kuamini kuwepo kwa kanuni kunaleta taarifa ya kuwepo kwa mwekaji wa kanuni husika na kuwepo kwa muwekaji wa kanuni ambayo inaksmata binadam wote ni kwamba muwekani lazima atakuwa na Mkuu kwa binadamu wote na aliyemkuu na muweza kwa wote ni yule aliye waumba binadam...Mungu.
Kwa mantiki ya kawaida ukijua kuwepo kwa Mema na maovu unakuwa unatambua kuwepo kwa muwekaji wa kanuni ya utambuzi,na umakuwa umethibitisha kuwpo kwa Mungu.
Kwa nini uovu uwe paired na wema?
Kwa nini huyo unayemsema kuwa mungu hakuumba ulimwengu ambao wema tu unawezekana, uovu hauwezekani kama mnavyosema alivyoumba ulimwengu ambao wanadamu tunaweza kwenda mbele tu katika muda, hatuwezi kurudi nyuma?
Tunarudi kule kule.
If complexity must be created, then god must have created man.
But because god created man, god must be even more complex than man.
Therefore god himself needs a creator. Because complexity must be created.
And his creator needs a creator, ad infinitum, ad absurdum.
Kwa hiyo kusema kanuni inahitaji muweka kanuni kutafanya hata mungu naye ahitaji muumbaji. Kwa nini uishie kwa mungu? That is a fiat, an assumption. A wrong a priori argument that takes an immense leap of faith into the unknown, without an inkling of reasonable or logical justification.
Kama kanuni inahitaji muweka kanuni, muweka kanuni katoka wapi?
Poa, hata nikilubali kwamba mungu ndiye kipomo cha uovu na uzuri, swali langu la msingi haliondolewi na kukubali huku.
Swali linauliza, kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na ipendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Swali hili halitegemei kama mungu ndiye standard ya uzuri na uovu ama la. In fact, swali limeanza kwa kukupa benefit of the doubt na kukubali kwamba mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote. By definition, from those qualities, mungu huyu ndiye standard ya uzuri na ubaya. Kwa hiyo hilo, kwa msingi wa swali, halina mjadala. Sijui mjadala unataka kuuanzishia wapi.
So katika ulimwengu wako ambao mungu ndiye standard ya uzuri na ubaya, mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote ea kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila ya kupoteza chochote kile?
Hujajibu swali hili, unajalibu kuliepa kwa habari ambazo hata hazina dispute katika msingi wa swali langu.