Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Pope Francis amesoma falsafa na theolojia zaidi yako wewe mmatumbi.
Anapoulizwa swali la problem of evil na kusema hajui inabaki pale pale kwamba hili ni swali zito katika imani juu ya uwepo wa mungu.
Katika makelele uliyoandika hapo juu, hakuna sehemu umesema kama ungezuia earthquake au la.
Ungekuwa na uwezo wa kuzuia mauaji ya Rwanda 1994, ungezuia au ungeacha?
Ungekuwa na uwezo wa kuzuia a 7.8 earthquake in Nepal, ungezuia au ungeacha?
Mind you wewe ndiyo unasema una upendo juu ya watu wako.
Sasa ungezuia au ungeacha? A very simple question. Hutaki kujibu kwa sababu jibu litaonyesha hicho inachoita mungu ni katili zaidi ya makatili.
Pope Francis kasoma Falsafa na Theology ...ni kweli. So what ?
Kelele zangu nimeandika kukukumbusha kwamba katika maafa ya Nepal sio yote yamesababishwa na natural force iliyoleta earthquake Kama ubongo wako hauwezi Ku comprehend hilo sio tatizo langu ni lako kukubali world view inayouwa uwezo wa kutafakari vizuri.
Uwezo sio kitu pekee kinachonifanye nitende jambo. Kuna mambo mengi zaidi ya uwezo. Ingekuwa ni uwezo pekee ningefyeka mazao ya watu yote yaliyolimwa kwenye njia ninayopita. Pamoja na kuwa na uwezo sitofanya hivyo. Tumia akili japo kidogo
Nikikwambia Nina upendo juu ya watu wewe unaelewaje ? Matatizo ya wewe kuelewa mantiki ya upendo juu ya watu yasiwe ndiyo hoja dhidi yangu. Kifo si shida kwamgu uhai na kifo kwangu ni sawa na mifuko ya suruali yangu ya kushoto na kulia ni uamuzi wangu kuweka nitakacho kushoto ama kulia.
Nimekunibu yote tatizo ni kuwa na assassinated brain hivyo unashindwa kuelewa.
Mungu ni katilli kwa mtazmo wa Mungu binadam au yule god of gaps lakini kuhusu Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi ukatili wake unaonekana kwa binadamu waliopungukiwa uwezo kihekima na kimaono.